Nani wa kujibu mapigo?.....wewe ni wa kundi gani?....na hawa je?..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani wa kujibu mapigo?.....wewe ni wa kundi gani?....na hawa je?.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Technician, Nov 10, 2011.

 1. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nani wakujibu mapigo?.........Nilitaka kujua tuu kama Mh Mizengo kayanza peter Pinda
  alikuwa akimaanisha nini kuhusu kujibu mapigo?
  Je ni polisi kujibu mapigo au ni wanaachama wa ccm maslahi kujibu mapigo?


  Ona hawa.......mikono juu

  CHADEMA 2.JPG
   
Loading...