Siri gani ya Viongozi wetu kulazimisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

LUKAZA

Senior Member
Nov 30, 2010
140
70
Ukweli wananchi wa Tanganyika na Zanzibar wanalalamikia muungano hauna tija kwao wao. Asa inakuwaje tunaingia katika katiba mpya viongozi wanachimba mkwara kuwa Hoja ya Kuvunja Muungano hata kama wananchi hawautaki iyo hoja haitakuwa na maana yoyote ivi jamani Tuambieni Maslahi mnayoyapata nyinyi wakubwa nasisi tuyajuwe ili tukubaliane na nyie ukweli mna tuburura kulikuwepo na G50 ilipopata madaraka tu sasa inalinda Muungano kwa nguvu zote apo nyuma walikuwa hawajuwi umuhimu wake ata Nyerere alipowataka warejeshe kadi?
 
Back
Top Bottom