Hivi Polisi wa Tanzania wanafanyaje kazi zao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Polisi wa Tanzania wanafanyaje kazi zao?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kifuna, Nov 10, 2011.

 1. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tumewaona Polisi mala nyingi mno wakikataza na kuzuia maandamano na mikutano kwa sababu za KIINTELIJENSIA sasa! kinacho nishangaza hapo kama mmeambiwa hizo taalifa za kiintelijensia mmezipata kwa nini msiongeze ulinzi? maana maandamano ni haki ya wananchi katika nchi yoyote ile. Wananchi wanapinga jambo au kuunga mkono kwa maandamano.
  Maadam kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zake kwa nini msilinde hivyo badala ya kuwanyima haki yao ya kikatiba?
  Vitu vingine wanavyonishangaza hawa mapolisi ni kudhalilisha watu bila kufanya utafiti. Eti tumemkamata na siraha hii na ile yenye risasi kadhaa wakati vyote hivyo mtu huyo anavimiriki kiharali. Sasa! hawa jamaa wako sawa kweli kiutendaji? kumbuka watu wakichoka wataandamana tu hata wakatazwe vipi Misri ilikuwa hivihivi!
  Naomba kutoa hoja
   
Loading...