Slaa, Lissu na wafuasi wao wafikishwa mahakamani Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa, Lissu na wafuasi wao wafikishwa mahakamani Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BigMan, Nov 8, 2011.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135

  Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbrod Slaa na mkurugenzi wa sheria wa chama hicho Tundu Lissu na wafuasi wengine kumi wa chama hicho wanafikishwa mahakamani muda mfupi ujao jijini Arusha.

  Kuna hatari ya kunyimwa dhamana kutokana na vurugu ambazo zinaendelea kwani vijana wa chama hicho wanavunja vioo vya magari na muda mfupi uliopita wamefanya hivyo katika mitaa ya Sabena iliyoko karibu na stand kuu ya Arusha
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Arusha amani lazima itoweke kama serikali ya magamba haitatumia akili kulihandle hili jambo.
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tunasubiri kujua mahakamani kutatokea nini,mlioko huko mtujuze kitakachojiri.
   
 4. t

  thinktank Senior Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha vyombo vya dola vifanye kazi yake, hawawezi kutuharibia Tanzania yetu kwa uchu wa madaraka
   
 5. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Sio Arusha pekee ,
   
 6. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Alfajiri ya mapambazuko naiona kwa mbaaali..kitaeleweka tu, hata wakitujaza sote selo zao, tutaimba piipoooz pawaaaa kama paulo na sila gerezani, ukandamizaji una mwisho
   
 7. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  nitarudi nijue kama wamepewa hukumu yao au nao la??
   
 8. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Time ya mahakama mwisho saa 9.00 imekaaje hii?
   
 9. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kuwasweka viongozi wa wananchi ndani kwa sababu eti wameamua kulala pale NMC bila kumfanyia mtu yeyote vurugu ni uvunjifu wa Amani. Hivi mbona wale watoto wa mitaani huwa wanalala mabarazani na hawakamatwi iweje polisi watumike kama majembe
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,753
  Trophy Points: 280
  Bora kinuke bongo yote.
   
 11. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Kosa kubwa sana hilo.. Wakikosea akanyimwa dhamana basi hali haitakuwa tete tena bali itakuwa ni mbovu kabisa.
   
 12. M

  Makomu Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vijana tuungani, ukoloni huu wa leo haukubaliki
   
 13. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mliopo mahakamani mtujuze.
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hayo magari waliovunja vioo ni magari ya polisi au ya raia?
   
 15. ndiomzee

  ndiomzee Member

  #15
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo alietoa amri ya kuwapiga watu kwa risasi alaumiwe.
   
 16. A

  Amelie Senior Member

  #16
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bagdad ya tanzania
   
 17. j

  jigoku JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Jamani we mbundi wa balaa kwanini hautui mikoa yote uonyeshe kila kilichokuwa kinatafutwa na CCM muda mrefu?itakuwa ni vema na haki likinuka nchi nzima maana hapa ni ubabe unatumika sasa kama kweli serikali hii inawekwa na watu na watu wenyewe ni pamoja walioko Arusha basi kuna haja ya kukataa uonevu.

  Tupeni habari kama wameshampeleka gerezani hao viongozi na wanachadema wengine.

  Ila kama hawatatumia akili na busara wajiulize ni kwa nini mshabiki wa mpira alijinyonga Kenya baada ya Arsenal kufungwa?ni kwa nini kuna watu wanajilipua,ni kwa nini Libya na kwingineko?ni kwanini mkaburu kule Afrika kusini aling'olewa?

  Haya bwana dola mnayo ninyi lakini panueni Magereza,hayatoshi kabisa.
   
 18. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #18
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Together as one,hatuwezi kubaliana na dhuluma pamoja na uonevu wa serikali ya magamba!lazima kieleweke!Ngoja nikapige tasker baridi,then ntarudi.
   
 19. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #19
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  ya sisiemu!
   
 20. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #20
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ule waraka ulinyofolewa hapa wameusoma?
   
Loading...