CHADEMA yasimamisha maandamano yake leo

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya M.Kiti wa CDM taifa ni kuwa leo hakutakuwa na maandamano kama ilivyotangazwa awali hapo jana.

Hii ni kutokana namazungumzo ambayo yameanza tangu jana huko Arusha baina ya viongozi wa CDM na wale wa jeshi la polisi wakiongozwa na DCI MANUMBA.

Hivyo wananchi wote wanaombwa kuvuta subira hadi watakapotangaziwa vinginevzo
 
Mbona unapotosha wewe sema polisi yapiga marufuku maandamo ya Chadema...

Sio Chadema yasimamisha maandamano yake
 
Tatizo linakuja ktk utekelezaji baada ya mazungumzo, hasa pale yanapo ingiliwa
 
ukitaka kujua yanasimamishwa nenda kimara kashuhudie umati wa watu ambao walishajipanga,nenda biafra,nenda temeke,
 
sure ritz na rejao hakuna post ya cdm ambayo hawatachangia. am sure hawa wako kazini. maana saa mpaka saa tisa usiku wanachangia asub saa 11 wanachangia. yaan afu pumba tu.
 
Huna kazi ya kufanya wewe ndo maana kila wakati unapost ugoro humu. Tafuta kazi ya kusukuma hata mkokoteni ikuweke bize. Au njoo kwangu nikupe kazi ya kufua nguo za watoto.

Karibu sana JF mkuu, Stay in touch JF "Chatu Dume"
 
sure ritz na rejao hakuna post ya cdm ambayo hawatachangia. am sure hawa wako kazini. maana saa mpaka saa tisa usiku wanachangia asub saa 11 wanachangia. yaan afu pumba tu.
wewe saa hizi unafanya nini hapa? Umejuaje saa tisa usiku huwa rejao na ritz huwa wanakuwa active?
ama kweli nyani haoni kundule!
 
Mbona unapotosha wewe sema polisi yapiga marufuku maandamo ya Chadema...

Sio Chadema yasimamisha maandamano yake

Mara ngapi wanazuia na yanafanyika? huna akili we na nadhanii picha hiyo inakuonesha ulivyochafuka kama cameruni
 
wewe saa hizi unafanya nini hapa? Umejuaje saa tisa usiku huwa rejao na ritz huwa wanakuwa active?
ama kweli nyani haoni kundule!

Cloning websites is a tactic that was previously used in China, Malware enables an individual's website to be infiltrated via a virus or spyware designed to damage a user's system and "suck out important content".

It also enables the "infiltrator" to clone the original system and send out information that would be hard to detect as being fake.

There is evidence that this sophisticated tool is being used in Tanzania and Sudan, according to Tom Rhodes of CPJ's East Africa.

JamiiForums, a Swahili language version of Wikileaks, is being "cloned" by Tanzania's government to disrupt conversations of opponents, he says. There has been no comment from the Tanzanian authorities on this.

Nevertheless with Chinese influence in Africa growing rapidly, should journalists and bloggers be more concerned?

CPJ - Committee to Protect Journalist
 
Kwa hiyo mliamua maandamano mfanyie viwanja vya nyumba Kimara Bonyokwa, Temboni, Baruti..

Mngekutana wengi wa Kibosho, Marangu, Mwika, Kishumundu, Old Moshi, Mawela, Rombo juu, Mwika, Uru, Machame, Mawenzi..

Maandamano yangependeza sana
 
Mbona unapotosha wewe sema polisi yapiga marufuku maandamo ya Chadema...

Sio Chadema yasimamisha maandamano yake
Usiwe mwehu wewe! Polisi wanajijua hawana mamlaka kusheria kupiga marufuku hayo maandamano ndio maana wanakutana na makamanda kujadiliana jinsi ya kuweka mambo sawa
 
Back
Top Bottom