Prince Charles na mke wake washindwa kuingia mjini Arusha

Prince Charles na mke wake washindwa kuingia mjini Arusha

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Posts
899
Reaction score
1,108
Yule mtoto wa malikia ameshindwa kuingia jijini Arusha na kuishia Arumeru, na hii ni baada ya wapelelezi wake waliyokuwa mwezi mmoja kabla ya safari yake hapa nchini, wapelelezi hawo wamemtonya kuhusu hali ya Arusha kuwa si shwari.

Arusha leo ilijiandaa kumdhalilisha vilivyo. Naripoti nikiwa ndani ya chumba cha RPC Arusha ambako kamanda Mbowe anamalizia maelezo ya mwisho.
 
hahaha nilijua tu kama namakachero hawezi kufika, lakini kama han makachero atafika vp Mbowe anaendeleaje hapo
 
si huyu prince charles? basi ni mtoto wa malkia sio malekia.

asante kwa taarifa.
 
Na asifike tu kwani anakuja kufanya nini zaidi ya kula good time na fisi maji wake Camilla..chezea chadema wewe..
 
Good_kwani hata angekuja asingeleta tija yoyote zaid ya kusababisha jam hapa.
 
Akafie mbali. Huku kuna nini chao walisahau?
 
Haya sasa hatupati tena misaada toka UK na sijui itakuaje huko nje maana kuna misafa kibao kuwa Tz ni nchi amani ya kuijwa Africa sasa Mkuu sijui atawaeleza nini hao Wazungu

Kimsingi Arusha wamekoroga sana sifa ya Tz nje
 
Yesuuu na Maria na Yosefu we ni Mshagga pure mtoto wa Malekia sio? heheheh khaa yaani nimepata tabu kuelewa umemaaanisha nini mpaka Mamengazi aliposema Prince Charles! Jamani kiswahili na kichagga tofauti jamani siye wengine ung'eng'e huo haupandi!
 
Yule mtoto wa malekia ameshindwa kuingia jijini Arusha na kuishia Arumeru, na hii ni baada ya wapelelezi wake waliyokuwa mwezi mmoja kabla ya safari yake hapa nchini, wapelelezi hawo wamemtonya kuhusu hali ya Arusha kuwa si shwari, Arusha leo ilijiandaa kumdhalilisha vilivyo. Naripoti nikiwa ndani ya chupa cha RPC Arusha ambako kamanda mbowe anamalizia maelezo ya mwisho.

Nasikia machalii waliandaa mayai viza kibao kwa ajili ya kumpopoa
 
Yule mtoto wa malekia ameshindwa kuingia jijini Arusha na kuishia Arumeru, na hii ni baada ya wapelelezi wake waliyokuwa mwezi mmoja kabla ya safari yake hapa nchini, wapelelezi hawo wamemtonya kuhusu hali ya Arusha kuwa si shwari, Arusha leo ilijiandaa kumdhalilisha vilivyo. Naripoti nikiwa ndani ya chupa cha RPC Arusha ambako kamanda mbowe anamalizia maelezo ya mwisho.

lakini katika ratiba yake ya awali hakuwa na shughuli zozote zile za arusha mjini
 
Yule mtoto wa malekia ameshindwa kuingia jijini Arusha na kuishia Arumeru, na hii ni baada ya wapelelezi wake waliyokuwa mwezi mmoja kabla ya safari yake hapa nchini, wapelelezi hawo wamemtonya kuhusu hali ya Arusha kuwa si shwari, Arusha leo ilijiandaa kumdhalilisha vilivyo. Naripoti nikiwa ndani ya chupa cha RPC Arusha ambako kamanda mbowe anamalizia maelezo ya mwisho.
Ni mtoto wa Malkia au Malekia??

mbona unachemsha?
 
Hata angekuwa Mtoto wa nani hata sisi pia ni watoto wa Arusha Hatumtaki hata Kikwete sio huyo Prince
 
Thanks Mkuu! ujumbe umefika duniani, Hope atakuwa ameambiwa jinsi police wa Tz walivyo wauwaji na waonevu wa haki duniani
 
nipoo hapa A-town namwona prince charles anakatizaaa na wapambe akiwemo balozi wa uk nchinii...Ataelekeaa cultural heritagee soon.
 
Back
Top Bottom