Wakuu wa Polisi sasa nadhani wajiuzuru...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu wa Polisi sasa nadhani wajiuzuru......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BIG X, Nov 10, 2011.

 1. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Maandamano ni haki ya kila mtu duniani popote. Wanaposema kuna taarifa za kiitelinjisia kwamba kutakuwa na uvunjifu wa amani kwenye maandamano basi kazi ya polisi ni kupambana na hizo taarifa sio kuzuia maandamano. Kazi ya polisi itakuwa ni kuwatia nguvuni watu ambao watabainika kuvunja amani wakati maandamano yakiendelea. Kwahiyo kazi ya polisi ni kulinda Amani wakati wa maandamano sio kuzuia maandamano. Kuzuia maandamano hasa yanapokuwa na lengo maalum ni kuhatarisha Amani nchini, Na kuwafanya wananchi wapoteze imani kabisa na jeshi la polisi.

  Huku ni kushindwa kazi kabisa kwa wakuu wa jeshi la polisi. kwa mtu yoyote mwenye akili atajua tu kazi inayofanywa na jeshi la polisi sasa sio kuleta amani tena ni kuvunja amani kwa sababu ya maslahi ya watu wachache nchini na sio kwa Taifa. kwa hili hamna budi viongozi wote wa jeshi la polisi mjiuzuru kabla hamjabeba dhambi zote za watanzania.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hizo taarifa zao za kiinteligensia zinatuboa sana. Heri ya chadema wakitoa taarifa za kiinteljensia wanatoa na concrete details.
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Polisi wanahubiri proffesionalism, lakini nao wameishiwa kufanya kazi kwa maelekezo ya CCM. Hawako huru hata kidogo. Kwao hata maana ya utawala wa kidemocrasia hawajui maana yake. Waambie kuvurumusha mabomu, hapo utawapata vizuri. Chanzo cha haya yote, viongozi wao siyo kila asakari, ni kuanzia mtu mwenye nyota moja, analazimika kusaini mkataba maalum wa kuitumikia CCM.

  nI AIBU KUBWA KUAMINI CHEO ULICHONACHO KI KWA FADHILA ZA CCM.

  PITIA LINK HII.

  [FONT=&quot][/FONT]https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/191183-kiburi-cha-watendaji-wa-umma-ni-hiki-hapa.html
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  ni wajinga tu, hawana jipya. wanawatesa askari wa chini ambao wanalazimika kufanya kazi kwa amri hata kama hawataki
   
 5. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi wanalipwa kiasi gani kwa kutekeleza haya. Yani kodi yetu tunayolipa wenyewe inatumika kutuangamiza wenyewe!.
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  yaani unataka wafukuzwe kwa kutekeleza wajibu wao? Je umesikia Uganda wenzako kusuku kukutana hata watu watatu tu na kuzungumzia siasa ni kosa.

  Kazi za polisi ni kulinda raia na mali zao ikiwa pamoja na kusimamia na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa na kuhakikisha nchi inakuwa salama usalimini.

  Nje ya hapo basi nguvu za Doula zitakuangukia.
   
 7. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Serikali ya mafisadi wanafanya mambo kifisadi fisadi,police wa chini wanalipwa mshahara kiduchu sana,lakini cha ajabu wanamapinduzi wanapotaka kuwakomboa wao wanakuwa wa kwanza kupinga na kupiga watu virungu,NYIE VIBARAKA AMKENI MNATUMIKA VIBAYA KWA MASLAHI YA FAMILIA ZAO.
   
 8. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wajibu gani!! wa kuvunja Amani Nchini!!
   
 9. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  wajinga sana,wanabwabwajia laki na nusu mpaka tatu!!polisi ni manyang'au
   
Loading...