Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya mbeya walikuwa waanze ilo zoezi mapema mara tuu baada ya kupata RC mpya. Wakangoja bunge lianze ili Sugu awe hayupo jimboni wakidhani uwepo wake ungechochea vurugu zaidi.Wakashindwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwaka 2010/11 mshahara wa mtumishi wa umma uliogezeka kwa 29% na kuna tetesi kuwa hata mwaka huu umeongezeka je wadau kama mmebahatika kuchungulia kunako husika umeongeza kwa kiasi gani? tuandae...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
CCM na CHADEMA Arusha na Mwanza mmejifunza nini kutoka mbeya. Meza ya mazungumzo kati ya viongozi wa CCM na CHADEMA mkoani mbeya imefanikiwa kuleta muafaka. Mikoa ya Arusha na Mwanza ina fursa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
sitakubaliana kwamba kutulia kwa vurugu Mbeya ni kutokana na juhudi za mbunge wa mbeya mjini (CHADEMA) Mr Sugu peke yake ni juhudi za pamoja za viongozi wa mkoa wa mbeya bila kujali vyama...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Bila shaka ni tukio la kwanza na la aina yake, kwamba polisi walishindwa kuwathibiti vijana wa jiji la Mbeya ambao walikuwa wakipambana nao kwa zaidi ya masaa ishirini. Kila sehemu ilisikika milio...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Yes, they are happy, if not, they could have already set up the fortification standards.124 days past since TBS promised to set fortification standards! Over the past decade over 600,000...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mbeya imemhukumu Mbunge wa Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya (CCM) Dickson Kilufi kutumikia kifungo cha miezi 10 au kulipa faini ya sh 500,000. .JPG"] Mh. Mbunge wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika kila tukio linalohusisha kutoelewana kati ya wananchi na serikali na kupelekea msuguano, mgogoro na ghasia tunaambiwa serikali husika ni kandamizi. Hii ni dhana potofu ni muhimu kila tukio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wajumbe hivi wananchi wanapoamua kukinzana na maamuzi kandamizi ya serikali na kuamua kuandamana kudai haki yao pasipo mapigano ya raia kwa raia je! Inaweza kusemwa ni uvunjifu wa amani? Katiba...
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Uchunguzi ufisadi wa Meremeta wayeyuka Send to a friend Friday, 11 November 2011 21:21 Neville Meena, Dodoma KUNA kila dalili kwamba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukizoea vya kunyonga, vya kuchinja huviwezi. Makuti ni yaleyale... mikono ni ileile...ila kinachokosekana ni ubunifu kwenye kazi tunazofanya. Unadhani ukifanya kazi yako kwa viwango vinavyotakiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
...Tanzania inayumba kiuchumi, kijamii na kisiasa! Hakuna shaka yoyote kwamba, kama gari, basi dereva anayeliendesha ni "mwanagenzi" na mwenye "leseni" ya "learner" inayomfanya afanye majaribio...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeanagalia Taarifa ya habari saa 2:00 usiku na kushangazwa sana na kauli ya ERASTO TUMBO WA CHADEMA kwamba Mkuu wa mkoa wa Mbeya ABASS KANDORO hana sifa za kuwa Mkuu wa mkoa kwa sababu tu ya...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Suala lililotokea mbeya siku mbili zilizopita ni kitu hatari sana ambalo viongozi wetu tulionao naona kama wanafanyakazi kwa mazoea tuuu. Yaani nitaamka dereva atakuja kunichukua nitaenda ofisini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sijaona nia ya kweli ya kupata katiba halisi ya mwananchi zaidi ya wanasiasa uchwara wa kitanzania kutetea maslahi yao.. wao ni tume huru na mamlaka ya raisi kutwa nzima.. kamwe wananchi wanyonge...
0 Reactions
1 Replies
984 Views
MWENYEKITI Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amepandishwa kizimbani katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Arusha kwa kosa la kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria na kukaidi amri ya jeshi la polisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SUALA la maslahi ya wabunge jana liliibuka tena wakati wabunge walipokutana kupewa maelekezo kuhusu mkutano wa tano, huku wabunge wa CCM na wale wa upinzani wakionekana kuwa na kauli moja ya kudai...
4 Reactions
85 Replies
8K Views
Kwa wanajamii wenzangu. Naamini wote mnajua vema siasa za nchi yetu. CCM ina zaidi ya miaka 40 madarakani. Je! kuna faraja/tumaini lolote wamelipata WATANZANIA ,KIUCHUMI au KIJAMII. CHADEMA ina...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
na Betty Kangonga MBUNGE wa Kasulu Mjini, Moses Machali (NCCR-Mageuzi), amesema kuwa yuko tayari kujiuzulu nafasi ya ubunge na uanachama iwapo mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Mkuu wa mkoa Arusha Ndg Magesa Malongo leo amekwaa kisiki baada ya kuendeleza propaganda za CCM kwa kigezo cha amani na maendeleo ambapo madiwani hao walisusia kikao hicho na kutoka nje. Wakiwa na...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…