CHADEMA sasa yawaadhibu wananchi: NAPE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA sasa yawaadhibu wananchi: NAPE

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duble Chris, Nov 13, 2011.

 1. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  JF members

  Nimeisikia hii habari via TBC[SUB]1[/SUB] magezeti asubuhi hii kuwa Nape anasema baada ya CHADEMA kushindwa kwenye uchaguzi ulio pita sasa kimeamua kuuwaadhibu wananchi kwa kupitia vurugu zinazoendelea nchini

  My take:
  Naomba sana tuwe wakweli Mfano hizi vurugu zilizo fanyika MBY kwa masaa zaidi ya 30 mfululizo chanzo chake nini ?

  Ukweli ni kwamba watu hasa machinga walichoka kunyanyaswa na migambo wa jiji ambao walikuwa wakiwafukuza ktk maeneo yao ya kazi na kuwafukuzia ambako hata wao ( migambo) hawakujui

  Pili migambo kumwaga michele, mbogamboga, matunda ya akina mama ambayo wanauza kando ya barabara

  Tatu wenye maduka kuwazuia kabisa kutoa bidhaa yeyote ya dukani nje kama sample othewise wanachukua hiyoo bidhaa eg nguo

  Nne huu ni mwezi wa mavuno kwa machinga kwani tunaelekea kwenye sikukuu

  NAOMBA SANA TUWE WAKWELI SI KILA JAMBO NI SIASA MENGINE NI MASUALA YA KAWAIDA SANA AMBAYO VIONGOZI WA JIJI WALISHINDWA KUYA WEKA SAWA MAPEMA
   
 2. z

  zamlock JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hili jamaa linatumia masaburi kweli cjui lini atapevuka, mtazamo wake na uwezo wake nina mashaka nao ana hitaji msaada wa maombi
   
 3. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kuna watu hata ukiwaombea masaa na masaa hutaona mabadiliko
   
 4. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kama ndo hivyo basi alitakiwa kusema kuwa cdm inaiadhibu serikali kupitia vurugu na si cdm kuwaadhibu wananchi.au anafikiri serikali haipati shida kwa vurugu hizi? btw hapo ameongea utumbo.
   
 5. p

  politiki JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Nape has become IRELLEVANT tangu ile siku alipoitaka chadema itoe msimamo kuhusu swala la mashoga kwenye lile azimio la waziri mkuu cameron alipozitaka serikali za nchi za kiafrika kuheshimu haki za mashoga naye nape the next kwa domo lake kaya eti akataka chadema itoe msimamo kuhusu azimio la cameron huku akijua wazi kuwa chadema haina serikali. JK anachagua viongozi dhaifu km akina Nape ili kuficha udhaifu wake.
   
 6. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Yani jamaa kilaza sana sijui aibu ilivyoumbwa alikuwa kashazaliwa mana aibu ziro kabisa.
   
 7. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Hizo ndo siasa.
   
 8. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,440
  Likes Received: 9,090
  Trophy Points: 280
  Ameacha kutumia KAROLAITI?
   
 9. CHIETH

  CHIETH Senior Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba tujitahidi kuzuia propaganda za Nape maana hiyo ndo kazi yake alopewa dhidi ya chadema. CCM inamatatizo mengi, inadhambi nyingi imetutendea sisi wananchi huwezi kuzirelate hata moja ya cdm. CCM imeuza migodi yote kwa kisingizio cha uwekezaji wananchi wamenyamaza, CCM iliuwa watu Bulyankulu wanachi wamenyamaza, CCM iliuwa watu Zanzaibar mwaka 2001 hadi wengine ni wakimbizi huko somalia wananchi wamenyamaza, Tarime watu wamepigwa risasi wakidai haki zao wananchi wamenyamza, na nk. Sasa Nape ataka kutuambia upupu. Tafadhali Nape acha proganda za kijinga. Abraham Lincoln aliwahi kusema na nitamnukuu, [​IMG] [​IMG] [​IMG]"You may fool all the people some of the time, you can even fool some of the people all of the time, but you cannot fool all of the people all the time." Huu ndo ukweli mambo hivi sasa wala sio CDM.
   
 10. K

  Kandukamo Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatzo la huyu Mmakonde ana mtindio wa KIFIKRA,ameshindwa kuelewa tatzo lililotokea Mbeya limegusa maisha ya wakazi wa mji ule,Nadhani kama Prof.Mwandosya angelikuwepo akaenda kuongea na watu wana Mbeya wangemsikiliza on behalf of SUGU kwani yeye ni mtu wa kujishusha sana kwa Wananchi kwahiyo na hapo tungesema chanzo ni CCM?Mara ngapi JK amezomewa Mbeya lakn akaokolewa na Mwandosya?Na hapo Nape ameshndwa kutambua kuwa tatzo ni wao CCM na badala yake atupia mpira kwa CDM.Serikali ya CCM endapo itaendeleza utawala wa KIIMLA itambue fika kuna watoto wadogo hawajafikisha umri wa kupiga KURA na hao 2015 kwa hasira wataiadhibu CCM,kama vile watoto wa shule moja ya secondary walotendwa vibaya na polisi kwa kupigwa na kuwekwa lumande.NAPE OPEN YOUR EYES,leo Wazanzibar wanataka kujitenga na MUUNGANO but kuna siku SOUTHERN HIGHLAND watataka kujitenga.
   
 11. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hili jamaa lilishaombewaga sana pale Amana lakini ndo linazidi kuchanganyikiwa labda lilipata laana mahali.
   
 12. A

  Abbyd Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mtu anatumia kichwa cha chini kufikiri,badala ya kusema ccm imeamua kuwaadhibu wananchi wake anasema cdm ndo wameamua kuwaadhibu wananchi kweli huyu masaburi
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hapo ndio utajua pro ccm na cdm kila mmoja nawazo yake..
   
 14. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Wao CCM wamekuwa wakituadhibu kwa kutuibia na kutuleta maisha mabaya kana kwamba sisi ni manyani kwa miaka 50 sasa. Siwezi kushangaa akisema hivyo maana nafsi yake inamsuta.
   
 15. M

  Mhutu Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuhusu ushoga, yeye mwenyewe Nape ameshaacha kujichubua?
   
 16. O

  Omr JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa anasema ukweli, CDM wanafikiri siasa za fujo ndio zitawaendeleza. Hii serikali inawaendekeza sana. Wao wanahamasiha fujo halafu mambo yakicharuka wanatia mbio huku wakiwaacha wanachama wao wale bakora. Mfano mzuri ni yalio tokea Arusha. Viongozi wao walipotea ghafla wakati bakora zikitembezwa. Mmoja karuka ukuta na mwingine kajificha kama panya kwenye sanduku.
   
 17. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Kila siku watu wanaandoka humu JF na wanatamka mitaani kuwa, kwa namna yoyote ile haiwezekani bosi akaajiri wafanyakazi wanaomzidi uwezo. Kwa hiyo ukitaka kujua uwezo wa mfanyakazi angalia competence ya bosi wake.
  Nape hana tofauti na wenzake waliomtangulia na waliopo, try to think the likes of Makamba, Salva, Luhanjo, Mukama, etc.
   
 18. M

  Mabewa Senior Member

  #18
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mm nachoona ndugu zangu tunaanza kuzoea harufu ya mabomu ya machozi,milio ya risasi na kibaya zaidi tunaanza kuzoea na sare za jwtz na jkt katika kutuliza ghasia hatuna muda mingi kitanuka mbeya ni mfano hawaogopi hawa jamaa si mmeona polisi wameshindwa?arusha mmewaona mbeya....dsm kazi kwenu
   
 19. O

  Omr JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa wamechanganya damu na nchi jirani, hii ndio faida ya dada zetu kuvuka mipaka na kutuletea damu za ajabu ajabu ndani ya Tanzania yetu.
   
 20. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  OK Bw omr sasa kwa nini CHADEMA ndiyo wanao itwa kutuliza gasia eg Arusha mahamani - Walimuita Mbowe, Jana Mbeya walimuta Sugu fikiri chanzo cha tatizo na impact zake " uwe balanced "
   
Loading...