Mbona vyombo vya habari vimesita kuongelea vurugu za Mbeya na UDSM?

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
354
Nimefuatilia vyombo vingi vya habar jana TVs, redio na magazeti mengi habar ya vurugu ya mbeya na udsm vimepewa coverage ndogo na mengine hakuna hata hiyo habar. Tatizo ni nin? Au serikali imewaomba wafanye hivyo kuzuia kuenea sehemu nyingine au sheria ya habar inawataka hivyo! Wanahabar mtuhabarishe, nin kimetokea kwenye media zenu?
 
Bongo kuna vyombo vya habari basi? Wengi wanafanya kazi nje ya maadili ya kazi zao, haviko huru, huwa nashangaa kila mwaka wanatunga sheria sijui wana maana gani au elimu ya wanaofanya marekebisho ya hizi sheria nayo iko rehani? Haiwezekani hata kidogo, kila mwaka wizara inakuja na sheria ya marekebisho fulani, hivi tunamkomoa nani kufanya vitu kidogo kidogo kwa gharama kubwa? Bullshit!
 
Wamehongwa na ccm, na hawa wandishi maslahi utawaweza hakuna kitu nchi hii. Naomba aljzeera ianzishwe tu ili itusaidie kwenye ukombozi.
 
Nimefuatilia vyombo vingi vya habar jana TVs, redio na magazeti mengi habar ya vurugu ya mbeya na udsm vimepewa coverage ndogo na mengine hakuna hata hiyo habar. Tatizo ni nin? Au serikali imewaomba wafanye hivyo kuzuia kuenea sehemu nyingine au sheria ya habar inawataka hivyo! Wanahabar mtuhabarishe, nin kimetokea kwenye media zenu?

Waandishi wa Bongo njaa sana, ndio maana Lowassa Aliwadisi kwa kuwaambia "I THINK THIS IS ENOUGH FOR YOUR STOMARCH" hahahahaha! Wamenunulia!
 
Acha uvivu wa kutafuta habari maandamano ya wanafunzi na FFU wameonyesha..
Chaneli Ten
Mlimani Tv
ITV
Na habari za Mbeya wameonyesha na karibia magazeti yote yameandika haya matukio.

Wewe unataka mpaka uone kwenye chombo gani?
 
Nimefuatilia kipindi cha magazeti asubuhi, redio free africa, habar za hizo vurugu hawajasoma kabisa wanaziruka, kana kwamba hakuna hata gazeti moja lilo andika. Nawapa pongezi wapo redio wao wamejitahidi kuzipa air time za kutosha. Chan. ten, itv, na nyinginezo na nyie mmekuwa tbc cku hiz. Au ndio mambo ya kujikweza kwa serikali? Na ki2 kingine ambacho siwaelewi hiz tvs, mara kikwete wana mwita Dr. Kikwete, Sikunyingine hawamwiti hivyo.
 
Ujaambiwa kama hawajaonyesha,wametoa coverage ndogo mpambano umedumu zaidi ya masaa 10 wao wameonyesha dkk 1 na Mliman na CHN 10 hawajaonesha kabisa
 
hajasema hazijaoneshwa...usiwe mvivu kuelewa mrahisi kusahau ww funza wa magamba..hujaelewa mada umeshawashwa..
 
Wamehongwa na ccm, na hawa wandishi maslahi utawaweza hakuna kitu nchi hii. Naomba aljzeera ianzishwe tu ili itusaidie kwenye ukombozi.

I doubt! Kwani hakuna waandishi wa BBC, VoA au Deutchewele hapa nchini? Tena hapo Dar ndo wamejazana, mbona hawakuripoti ya UDsm? Imefika mahali JF imekuwa chombo bora cha habari na hatuna waandishi wa habari.

Hata Aljazeera hawatasaidia maana Waandishi watakuwa haohao Wabongo.

Wahariri na Waandishi wa Habari itendeeni haki jamii yenu
 
Vyombo Vya Habari vimegeuka wasaliti....
Najua wanatamani wazuie na internet kabisa ili ujumbe usiende kwa vyovyote vile.
 
Acha uvivu wa kutafuta habari maandamano ya wanafunzi na FFU wameonyesha..
Chaneli Ten
Mlimani Tv
, ITV
Na habari za Mbeya wameonyesha na karibia magazeti yote yameandika haya matukio.

Wewe unataka mpaka uone kwenye chombo gani?

Nilisikiliza habari TBC radio saa 2 ucku jana. Nilihuzunika sana, badala ya kutuambia sababu za vurugu hizo, zilikuwaje, majeruhi wangapi nk, wanatuambia Kamati ya Ulinzi na Usalama Mbeya imekutana na kusema hivi na vile kuhusu vurugu za Mbeya!
 
Ujaambiwa kama hawajaonyesha,wametoa coverage ndogo mpambano umedumu zaidi ya masaa 10 wao wameonyesha dkk 1 na Mliman na CHN 10 hawajaonesha kabisa

Nadhani wewe ndio una mapenzi mabaya sana hata ukweli utaki kuukubali..

Muanzisha hii thread kaandika vyombo vya habari vimesita kuongelea vurugu za mbeya na UDSM?

Wewe ni muongo sana ujue unaropoka tu, kwenye Tv ilionyesha kwa muda mrefu hizo vurugu ni Mlimani Tv.

Taarifa za habari huwa ni dakika 10 sasa wewe unataka habari yote waongelee Mbeya na UDSM?
 
Nimefuatilia kipindi cha magazeti asubuhi, redio free africa, habar za hizo vurugu hawajasoma kabisa wanaziruka, kana kwamba hakuna hata gazeti moja lilo andika. Nawapa pongezi wapo redio wao wamejitahidi kuzipa air time za kutosha. Chan. ten, itv, na nyinginezo na nyie mmekuwa tbc cku hiz. Au ndio mambo ya kujikweza kwa serikali? Na ki2 kingine ambacho siwaelewi hiz tvs, mara kikwete wana mwita Dr. Kikwete, Sikunyingine hawamwiti hivyo.

samahan mkubwa.. Sio dk kikwete ni mheshmiwa kkwete unaposema daktari kwa great thnkers unamaanisha elimu ya m2...2mpe udaktari kwasabab ya kua na uwezo wa kuzurula dunia nzima..bas 2mpe uraia wa dunia....iyo gharama ya kwenda nje kila siku ingenunua matrekta mangapi ya wakulima we2, bdo haendi pekeake yuko na wapambe hao wote wangetoa gharama za safari kununua vitabu kungekua na upungufu kama hii leo
 
Ha! Ha! Ha! Baada ya kuwabana wamechakachuwa hii thread wamebadili heading..
 
Acha uvivu wa kutafuta habari maandamano ya wanafunzi na FFU wameonyesha..
Chaneli Ten
Mlimani Tv
ITV
Na habari za Mbeya wameonyesha na karibia magazeti yote yameandika haya matukio.

Wewe unataka mpaka uone kwenye chombo gani?

naomba usome vizur habar yangu, cjasema hakuna chombo cha habar kilicho onyesha, kulingana na habar tulizozickia huko mbeya na tukio lenyewe lilivyokuwa kubwa, ni tofauti kabisa na coverage iliyopewa na vyombo vya habar hasa tvs, niliangalia jana channel ten, hata dk moja haukifika, tbc huko ndio kabisa zaidi ya ujumbe wa kamati ya usalama. ITV nayo vilevile walitoa juujuu tu.
 
Back
Top Bottom