Je serikali ya CCM inasoma alama za nyakati?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,740
155,430
Machafuko kila sehemu ya nchi, tena tunaambiwa maandamano makubwa yanakuja.
Kwanini Kikwete asijiuzulu kabla hakijamkuta kilichomkuta Gaddafi?
Hata moto mkubwa ulianza na cheche.
 
Machafuko kila sehemu ya nchi, tena tunaambiwa maandamano makubwa yanakuja. Kwanini Kikwete asijiuzulu kabla hakijamkuta kilichomkuta Gaddafi? Hata moto mkubwa ulianza na cheche.
sipendi kuifananisha serikali ya KIKWETE na serikali ya GADAFFI sbb ni sawa na kumfananisha mgomjwa wa mafua(iliyokuwa serikali ya gadafi) na marehemu aliyeko mochwari(serikali ya TZ). Hb tujidai tumeyasahau yt ya nyuma tusubiri kesho km WATASIKIA AU?
 
Back
Top Bottom