Wajameni, serikali ita wanyanyasa wamachinga hadi lini???

ngure

New Member
Sep 11, 2011
2
0
Helow mtanzania mwenzangu, mwenye uchungu na hali ya maisha ilivyo sas vuta taswira na kumbukumbu na angalia vijana kwa wakinamama wanaojitafutia kipato chao kwa mahangaiko lakini serikali inawaangaisha na huku haiwatengei maeneo maalumu kwa vibiashara zao!! Tazama vurugu za mbeya , Mwnz na kungineko watu wengine wamegharimu maisha yao. sas huu ni utawala bora au bora utawala??????? THINK IN DEEP IN 50 YEARS WHERE ARE WE GOING!!!!!
 
Back
Top Bottom