Bada ya wiki nyuma wz,bar kupeleka malalamiko yao ktk ofisi ya UN ,Sasa wanapanga kufanya Mandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bada ya wiki nyuma wz,bar kupeleka malalamiko yao ktk ofisi ya UN ,Sasa wanapanga kufanya Mandamano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Nov 13, 2011.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=1]Taarifa maalum ya maandalizi ya maandamano ya kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar.[/h]Written by musmyl // 11/11/2011 // Matangazo // 22 Comments

  [​IMG]Umoja wa ZARFA unawaarifu wazanzibari wote tunaoipenda Zanzibar yetu adhimu, kwamba baada ya kuwasilisha barua kwa katibu mkuu Umoja wa Mataifa kupitia ofisi ya UN Zanzibar tarehe 10/11/2011 .
  Kwamba kwa nia inayoendelea kudhihiri kwa wazanzibari dhidi ya suala la Muungano, ni wajibu wetu sote kuendeleza mapambano dhidi ya ukoloni wa Tanganyika kupitia muungano huu. Kwamba matayarisho ya kuwepo kwa maandamano ya Wananchi ndani ya Zanzibar yanatayarishwa, kwa mfumo maalum, maandamano hayo yataanza kufanyika Unguja, kujumuisha mikoa mitatu na siku nyengineyo yatafanyika Pemba kwa mikoa miwili .
  Kwamba ndugu zetu Wazanzibari muhimu muelewe kuwa wakati umefika, tunakuombeni tushikamane tusirudi nyuma hali umali tusonge mbele wanaume na wanawake wakabila zote wa rangi zote Wazanzibari , tunaomba mchango wenu wa mawazo, fikra endelevu, n.k, ili tuelekee katika kufanikisha azma ya ukombozi wa nchi yetu na utaifa wetu.

  Zanzibar ibaki ndani ya muungano ?
  • Ndio
  • Hapana

  [​IMG] Loading ...
  email musmyl@aim.com
  nawasilisha
   
Loading...