Jamani natafuta email address ya asha migiro nimuonyeshe unyama unaofanywa na serikali ya tanzania.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Jamani naombeni sana kama mtu anayo au anajua namna ya kuipata email address ya deputy secretary wa UN
Bi Asha Migiro ili tumfikishie ujumbe huu hapa chini ili ajionee mwenyewe human right violation inayofanywa na
Tanzania regime kwa raia wake kusudi langu kwake ni moja tu akiwa kama mmoja wa wasimamizi wa human right
UN naomba tamko lake dhidi ya unyama huu unaofanywa na Tanzania Regime in the name of keeping Peace.
nimeshatuma email kadhaa UN kupitia anuani zifuatazo

unicdc@unicwash.org New York kwa bwana wiliiam Davis.

unic.daressalaam@unic.org
namba ya simu 202 331 8670.

attachment.php
 
Hii ni hatari sana tena kinyume kabisa na haki za kibinadamu. Inakuwaje msichana asiye na madhara(kumbuka alijificha kuepusha shari) ashughulikiwe na askari wa kiume zaidi ya kumi. Ni kweli yeye ni hatari kiasi hicho!?Kweli ukiipata e-mail mtumie bana
 
migiro ni product ya ccm,kesi ya nyani unampelekea tumbili,.kwa ufupi nchi zote za magharibi zinaside na ccm sabbu wanafaidi resource zetu,beat it
 
migiro ni product ya ccm,kesi ya nyani unampelekea tumbili,.kwa ufupi nchi zote za magharibi zinaside na ccm sabbu wanafaidi resource zetu,beat it

akiwa kama kiongozi wa UN anawajibika kujibu email hii kwa sababu inahusu human rights violation kwa email yake ndio tunaweza kumuhukumu
na pia tunaweza ku hold accountable for her actions. na pia kumbuka email yangu copy itakwenda kwa bosi wake na pia mama Clinton hili iwe
kama kumbukumbu ya matendo ya serikali ya Tanzania inayokaa UN kinafiki kulaani nchi zingine zinazotesa raia wake.
 
Migiro alikuwa muamini wa serikali kandamizi hawezi kutenda haki!
 
kwani we unadhani hajui kinachoendelea?............anajua sana tena kila kitu ila atafanya nini tena wakati naye ni wale wale tu.
 
Du sasa huyo mdada alikua anafanya nini,alikua anaandamana?Sasa hapo polisi wangefanyeje?wangemwacha kwenye mtaro?mimi sioni kama hapo kunaunyanyasaji wa kutisha,UN pale wameshaona high profile unyanyasaji,kama ule wa Gadaffi,askari wanalishwa viagra wakafanye mambo ya ukweli kwa jamii ya watu wengi,lakini kwa hiyo ya mdada mmoja anatolewa kwenye mtaro na askari polisi sidhani kama watastuka sana,mie naona ndio watazidi kuisifia Tanzania kwa ukarimu wa askari kwa watu wake.UN pale wameshaona unyanyasaji wa Ginocide Rwanda watu elfu 10,000 wanauwawa kwa wakati mmoja hapo ndio UN watashtuka lakini hiyo picha kwao haitakua deal sana.Nafikiri umeelewa ushauri wangu.
 
Huyo Migiro anajua na anaona kila kitu!Sidhani kama atakuwa na msaada wowote kwa hilo mkuu.Ndio walewale tu.
 
migiro ni product ya ccm,kesi ya nyani unampelekea tumbili,.kwa ufupi nchi zote za magharibi zinaside na ccm sabbu wanafaidi resource zetu,beat it

Nakubaliana nawe mkuu she is part of that na anausaka urais so hawezi kusikiliza dawa ni ku document kila kitu upeleka EU na huko US wajionee wenyewe Migiro si msaada na yeye anawaza kama wao tu
 
Jamani naombeni sana kama mtu anayo au anajua namna ya kuipata email address ya deputy secretary wa UN
Bi Asha Migiro ili tumfikishie ujumbe huu hapa chini ili ajionee mwenyewe human right violation inayofanywa na
Tanzania regime kwa raia wake kusudi langu kwake ni moja tu akiwa kama mmoja wa wasimamizi wa human right
UN naomba tamko lake dhidi ya unyama huu unaofanywa na Tanzania Regime in the name of keeping Peace.
nimeshatuma email kadhaa UN kupitia anuani zifuatazo

unicdc@unicwash.org New York kwa bwana wiliiam Davis.

unic.daressalaam@unic.org
namba ya simu 202 331 8670.

attachment.php
Unadhani Asha Rose Migiro anaweza kuwashitaki magamba wenzake? Usipoteze muda! Kinachohitajika ni nguvu ya umma peke yake!
 
kwa nini usipeleke tume za haki za binadamu za kimataifa? na hata LHRC ya hapa bado hawajaichakachua ki-ivyo
 
Back
Top Bottom