Deus kibamba atangaza maandamano wasiposikilizwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Deus kibamba atangaza maandamano wasiposikilizwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by King Suleiman, Nov 13, 2011.

 1. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Ndg zangu mliokua mnafuatilia mdahalo wa katiba, mmemshuhudia D.Kibamba akitangaza maanadamano makubwa kama kesho muswaada wa katiba utasomwa kwa mara ya pili bungeni.

  my take:
  je serikali itakubali haya yatokee na tena tujuavyo kesho lazima watasoma hawa wenye kiburi.

  TUJIANDAE KUSHUHUDIA MAKUBWA KATI YA SERIKALI NA WANANCHI
   
 2. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  ngoja tusubiri tuone kama uma wa wawatanzania umeanza kuelewa na kutetea nchi yao
   
 3. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mimi niwaombe tu wananchi wwote katika hili tuwe kitu kimoja bila kujali itikadi za vyama vyetu.
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ungepeleka kwenye mjadala wa mdahalo itv sawa mkuu..
   
 5. M

  Makey Hunter Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nadhani hili nalo ni kipimo kwa watanzania kweli
   
 6. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  halafu kuna kundi la watu lilikuja kuvuruga mdahalo huu halafu kuna kijana amepigwa kituoni ubungo na kundi hili la vijana akitokea kwenye mdahalo kisa mchango wake juu ya katiba
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280

  kijana gani kapigwa mkuu yule aliysema anatokea pemba au yupi maana waliovuruga mdahalo ni wawili..chipakana huyo dgo wa chake chake pemba
   
 8. akilimtindi

  akilimtindi JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 423
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wasingizie tena Chadema kwa hili maana kule Mbeya wanatengeneza hisia kwamba si wamachinga ni Chadema wanachochea.
   
 9. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,301
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  Watayazuia tena kwa kisingizio cha al shaabab.
   
 10. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Tutaanzia Beghanzi-Mbeya kuelekea Tripoli-Dar,
   
 11. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  tutaanzia beghazi mkoa wa mara dar halafu tripoli ndo dar
   
 12. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Watanzania wengi bado waoga kila mtu anasubiri flani alianzishe then yeye afuate, wengine hajui chochote kuhusu katiba na ni wengi sana hapa nchini ukianzia wasomi na hata ambao hawajasoma kivile sasa mpaka uje umshawishi akaandamane kudai katiba mpya kazi ipo...ila wanaharakati muda ndio huu hakuna kukata tamaa
   
 13. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Lets make it clear Kesho inamaanisha Mawaziri wetu pamoja na Kiburi chao watatufanya hatujui haki zetu na kufanya maamuzi yao rahisi rahisi tuu kwa maslahi yao.
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  jk una kazi sana..nchi inapita katika kipindi tete sana..hapa ndo yanapohitajika maamuzi magumu
   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Lazima tuikomboe nchi yetu kwa hawa dhalimu CCM!
   
 16. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Unamsubiri nani wakati na wewe unawajibika moja kwa moja katika ukombozi wa nchi yako? King Suleiman, be among the patriot acha woga. Tarehe ya maandamano ya nchi nzima yakitangazwa tuna anzia hapo mpaka magogoni!
   
Loading...