CCM imeua na imetesa watu wengi sana. ushahidi ni huu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM imeua na imetesa watu wengi sana. ushahidi ni huu!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mcheza Karate, Nov 13, 2011.

 1. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Nimefadhaika kidogo niliposikia kuwa katibu wangu wa Itikadi na uenezi Nape Nnauye kuwa Chadema inatesa watanzania. Samahani na nipo tayari kusahihishwa. kwangu naamini kuwa CCM ndo wametesa na KUUA kabisa WATANZANIA. Leo kwa vile nipo via mobile nitautoa ushahidi wa jumla na mfupi ambao hata vilaza kama wanaotumwa kutoa "kauli pumba" kama za huyo hapo juu wataelewa.

  CCM kwa kutumia polisi wake wameua wananchi ktk migodi kwa kupiga risasi za moto vijana waliokuwa wanakerwa na wawekezaji(wakoloni), CCM wameua wananchi wasio na idadi kule Zanzibar mwaka 2001, na kuacha wengine wakimbizi huko Usomali, CCM wameua watanzania kule Arusha(kwenye maandamano ya CHADEMA). CCM imeua watanzania kule Mbeya waliporundika watuhumiwa ktk chumba kisicho na hewa. CCM wameua watanzania kule Tarime. Ktk KUTESA watanzania, CCM imeuza migodi yote kwa bei ya "utanipa 10%".

  Na kuwaachia mateso ya umasikini watanzania.CCM wanashiriki ktk kutorosha madini yetu(nenda Mchomoro- NAMTUMBO, sample ya uranium inachukuliwa kila siku). CCM wanawatesa vijana wetu kwa kuwaacha wasome vyuoni huku wakiwaacha washindie maji maana hata hela ya mkate hawana. CCM inaendelea kuwatesa watanzania kwa maisha magumu huku viongozi wakigawana "keki ya taifa". FEW MENTIONED ABOVE.

  Then NAPE anakuja na kusema CHADEMA wanatesa raia. wameua wapi? Wamemfunga nani wametesa nani? Au ujinga wetu wa kukaa kimya kwa yote haya? Nawasilisha!!!!!!!!!!
   
 2. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  fine, but you should comment!
   
 3. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Na bado wanaendelea kututesa kwa maisha magumu. Kilo ya sukari 2400 kutoka shilingi 1200, kila kitu juu. Mateso juu ya mateso.
   
 4. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Inatia hasira sana mtu anaburuzwa kutamka makapi!!!
   
 5. V

  Vitalino mlelwa Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Weak up!
   
 6. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,954
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  Nape hajawahi kuonja shida, haoni tofauti ya juzi, jana na leo
   
 7. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hivi sasa kila kinachosemwa na ccm ni kero kwa Mtanzania!!
  kwa nini ccm wasijiulize wanapopotoka badala ya kukimbilia majibu mepesi na mkato kuwa chadema ndiyo chanzo?!!!!!!
   
 8. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM imeua Igunga  QUOTE=Mcheza karate;2809227]Nimefadhaika kidogo niliposikia kuwa katibu wangu wa Itikadi na uenezi Nape Nnauye kuwa Chadema inatesa watanzania. Samahani na nipo tayari kusahihishwa. kwangu naamini kuwa CCM ndo wametesa na KUUA kabisa WATANZANIA. Leo kwa vile nipo via mobile nitautoa ushahidi wa jumla na mfupi ambao hata vilaza kama wanaotumwa kutoa "kauli pumba" kama za huyo hapo juu wataelewa.

  CCM kwa kutumia polisi wake wameua wananchi ktk migodi kwa kupiga risasi za moto vijana waliokuwa wanakerwa na wawekezaji(wakoloni), CCM wameua wananchi wasio na idadi kule Zanzibar mwaka 2001, na kuacha wengine wakimbizi huko Usomali, CCM wameua watanzania kule Arusha(kwenye maandamano ya CHADEMA). CCM imeua watanzania kule Mbeya waliporundika watuhumiwa ktk chumba kisicho na hewa. CCM wameua watanzania kule Tarime. Ktk KUTESA watanzania, CCM imeuza migodi yote kwa bei ya "utanipa 10%".

  Na kuwaachia mateso ya umasikini watanzania.CCM wanashiriki ktk kutorosha madini yetu(nenda Mchomoro- NAMTUMBO, sample ya uranium inachukuliwa kila siku). CCM wanawatesa vijana wetu kwa kuwaacha wasome vyuoni huku wakiwaacha washindie maji maana hata hela ya mkate hawana. CCM inaendelea kuwatesa watanzania kwa maisha magumu huku viongozi wakigawana "keki ya taifa". FEW MENTIONED ABOVE.

  Then NAPE anakuja na kusema CHADEMA wanatesa raia. wameua wapi? Wamemfunga nani wametesa nani? Au ujinga wetu wa kukaa kimya kwa yote haya? Nawasilisha!!!!!!!!!!
  [/QUOTE]
   
 9. T

  Topetope JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Da samahni napenda kuomba jambo moja kama lina wezekana je naweza kujua wasifi wa nape naomba rathi sana
   
 10. T

  Topetope JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kaka ila nafikiri unajua mapacha walivyo kwahiyo kaondoka makamba kaja nape kwahiyo usijipe tabu ya kuumiza kichwa chako bure muonee huruma maana muada ukifika atakuwa anatafuna meno yake mwenyewe
   
 11. M

  Makey Hunter Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kwa ujumla ccm inaua kila siku achana na kutesa
   
 12. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nape ni kilaza tu, wafahamu tu kwa sasa kuwa hakuna mtanzania anayekubali ujinga, wala kudanganywa, hivi hawajifunzi hawa wajinga kuwa CCM ndiyo wauaji??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ugumu wa maisha ni kipimo cha akili yako na uwezo wako wa kufikiri.si vizuri kulalamika,tufanye kazi.napingana na maneno yako............si kweli hata kidogo.ccm haijaua.wewe ni mchochezi....
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  wewe ni mchochezi,kilaza na unafikiria kwa kutumia masaburi..................inaonekana una chuki binafsi na utakufa na roho yako mbaya......badilika fanya kazi acha kulalamika dogo.
   
 15. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Unahitaji kichwa cha punda kusema aliyosema Nape. Sasa naamini Nape ana kichwa cha punda.
   
 16. Kifimbo Cheza

  Kifimbo Cheza JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mkuu nyekundu.
   
 17. Kifimbo Cheza

  Kifimbo Cheza JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mkuu nyekundu.
   
 18. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mnafiki na inaonekana Nape anaku- cameroon ndo maana unadiriki kumsafisha.
   
 19. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  afanye kazi ipi wakati serikali ya ccm inauza kila kitu kwa wazungu na ajira hamna au awe jambazi aje akuue na kukupora hapo kwako?muone,unajiona umefika,wewe dunia ya Mungu hii kama hupandi mlima basi unashuka,usitukane wakunga na uzazi ungalipo,unaishi bado ndugu,kwa hyo bado hujafika mwisho wa safari hapa duniani usijisahau
   
 20. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hawa wanaua kila dakika hapa,watoto wangapi wanakufa wakati wamama wanajifungua?wamitaani wangapi?njaa wangapi?wazee wangapi?ndio maana mi celewi m2 akisema yeye ccm ila naheshmu 2 kila m2 anauhuru wa kuwa kivyake
   
Loading...