Serikali ibane matajiri na makampuni makubwa,ili haliwezekani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ibane matajiri na makampuni makubwa,ili haliwezekani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by raffiki, Nov 17, 2011.

 1. r

  raffiki Senior Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uwaungwana,matajiri nchini marekani "patriotic millionaires"wanapendekeza wakatwe kodi zaidi ili nchi, wao na wananchi wasio na uwezo waishi vizuri. je kwetu haliwezekani?
   
Loading...