Wabunge wawili tu CCM A na CCM B

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Mh Chenge na Angela Kariuki ni wabunge pekee waliochangia hoja ya uundwaji wa kamati ya katiba! Waliowengi ni ujuha na ujinga.

Ukitaka kuchukia, kufurahi na kusikitika angalia bunge la Tanzania
 
Kale ka wimbo ' ngu..we pita sina mkuki mie...................................' haya malizia na ww

chenge gamba limeishia kiunoni, nikukata viuno kwa kwenda mbele.
MKUU LAKINI NDANI YA CCM NI VIONGOZI GANI BORA ZAIDI YA CHENGE NA LOWASA WENGINE WOOTE HAWANA MISIMAMO WAPO NA WOGA WAO TUUU, nilimwamini Magufuli na Tibaijuka but nao wamezikwa kwa wooga wa kuuwawa!
 
kwasasa na ndani ya CCM viongozi bora ni CHENGE na EL tu, the rest ni mavuvuzela, au tuite bendera kufuata upepo.
 
Mh Chenge na Angela Kariuki ni wabunge pekee waliochangia hoja ya uundwaji wa kamati ya katiba! Waliowengi ni ujuha na ujinga.

Ukitaka kuchukia, kufurahi na kusikitika angalia bunge la Tanzania

Wengi wao uelewa mdogo wanawaza posho tu na kupinga hoja zenye mantiki
 
kwasasa na ndani ya CCM viongozi bora ni CHENGE na EL tu, the rest ni mavuvuzela, au tuite bendera kufuata upepo.

kama ndani ya chama hao ndo viongozi bora. Basi watanzania tuna bahati ya mtende ya kuwa hapa tulipo. Tunaongozwa na nazi? Mswada wa uraia wa nchi 2 uje mapema tusepe tumekwisha.
 
Back
Top Bottom