CCM na Serikali wangepoteza nini Mswada Kusomwa Mara ya Kwanza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na Serikali wangepoteza nini Mswada Kusomwa Mara ya Kwanza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyami2010, Nov 17, 2011.

 1. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  WanaJF

  Nisaidieni jamani.

  Kwani kama Mswada wa Kuanzisha Mchakato wa Katiba Mpya ungesomwa kwa mara ya Kwanza, CCM na Serikali yake wangepungikiwa na nini? Ninahisi Serikali haishauriwi vizuri.....na hao wanaojiita washauri......
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hawajasahau mziki wa dodoma,zanzibar na dar.
  hawataweza kupitisha ajenda yao ya siri ya kuunda katiba maslahi.
   
 3. Yakuza

  Yakuza Senior Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Bunge wakipitisha huo muswada itakula kwao hususani Serikali na CCM yote....
   
Loading...