Bunge laimaliza nchi, watanzani hoi ..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge laimaliza nchi, watanzani hoi ..!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makomu, Nov 17, 2011.

 1. M

  Makomu Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mamilioni ya watanzania yaendelea kupotea kuwalipa wabunge ambao wanapoteza muda kujadili watu/chama kinachowatoa jasho badala ya kujadili maswala ya msingi ya kitaifa eg muswada wa katiba. Tuwe macho watanzania hawa watu hawathamini lile tulilowatuma nalo huko. Hawajui wajibu wao tena, tuwawajibishe.!!!!
   
Loading...