IDADI WA WABUNGE wa ccm LEO JIONI MJENGONI--Mahususi ili kupitisha mswada wa sheria ya Katiba!

Mr. Clean

Senior Member
Aug 7, 2006
194
44
Leo asubuhi kulikuwa na mapengo makuba sana ya uwakilishi bungeni, hasa upande wa ccm,
ila jioni hii bunge limesheheni karibia viti vyote, na hii si eccidentally but wameitwa ili kupitisha mswada kwa kishindo,
hii ndo TANZANIA tuipendayo! tumeweza, tunasonga mbele!

HAKIKA MSWADA UMESHAPITA---JE TUTAANDAMANA MDA GANI ---ORGANISER WATUPE PAKUKUSANYIKA!

POLISI WAANDAE MAGURUMETI YA KUTOSHA! HAPATOSHI TUKISHAPEWA GO AHEAD.
 
Kaka mi nachka kabisa na hizi politics za kibongo
sasa sijui tunaitaje hii
stail yaani acha kabisa...............
 
Wabunge wengi hawajitambui hupitisha mambo kwa kishabiki bila kuangalia hatari iliyopo mbele yake,I.Q zao ndogo sana,sina imani na bunge tunahtaji mapinduzi.Ikipita huu mswada wao wakipuuzi na ulitungwa na wapuuzi bila shaka walioupitsha nitawaita wapuuzi.AKILI ZA MBAYUWAYU CHANGANYA NA ZAKO..
 
Anaongea Mjumbe wa kamati ya mswada Mh. TUNDU LISU -Chadema sasa,
alotangulia baada ya kombani ni Pindi Chama - ccm
kwa jinsi nnavyomwona anavyowasilisha anamsokomezea bi kiroboto lawama kibao duu! aliwazuia wajumbe kwenda mikoani ahaaaakmbeeee!
Yes kasema URAIS huu wa kifalme ni hatari.
kaukataa mswada live na kaomba maelezo yake yawekwa kwenye hansard,
 
Haya sasa mambo yashakuwa mambo,
Chadema wooote nje, WAMESUSA, kabakia Mrema tlp na Manchali nccr na ccm B cuf,
haya sasa tuone yatakayojiri huko mbeleni,

ILA KAMA KAWAIDA MSWADA utapiyishwa na walobaki CCM
 
Mjadala ulikuwa uishe leo mchana, jk kashtuka, kaita timu ya uokoaji kufanya mazungumzo na chadema,
bi kiroboto, kaahirisha bunge hadi kesho! ili vikao vya usuluhishi viendelee night pia,
looooooo! woga ushawaingia hivyo, pamoja na vijembe vyooooote na mipasho kumbe ziiiiiiii!

kweli nguvu ya umma kiboko!

hivi pale walibaki ccm, cuf ccmb, tlp, na udp
kura wangepiga si zoooote zingesema ndiyooooooo!
wameona aibu.....kweshneyi!

tusubirie hiyo kesho, napenda iwe mapema ili kupata mda wa kuaanza maandamano ya amani toka pande zote za nchi!
mie naanzia bwagamoyo alipotokuwa dc ambaye sasa ni rc wa arusha , mkurya na mtani wangu magessa mulongo
 
Back
Top Bottom