Haya ndiyo mapambano ndugu Deus Kibamba........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ndiyo mapambano ndugu Deus Kibamba........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Nov 17, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Naweza kusema kuwa yawezekana wanaharakati wa Tanzania hawajawai kutuonyesha wazi uwepo wao kipindi kirefu, labda kwasababu kulikuwa hakuna kitu cha kuonyesha uwepo wao...

  Hili la katiba watuonyesha sasa,wabunge wengi wamesema kuhusu JUKWAA LA KATIBA na kuwakejeli sana kwamba hawana haki ya kuwasemea watanzania maana hawajachaguliwa na wananchi..na leo mbunge mmoja wa CCM ndugu Livingstone Lusinde amediriki kusema wasubiri waone watakachofanywa wakijifanya kupinga mswada huu,wengine wamesema kuwa ni wafuasi wa CDM nk...

  Sasa nadhani Deus Kibamba na wanaharakati wenzake watambue na wameonja chungu ya uhanaharakati na watuonyeshe kuwa wana-sifa ya kuwa wanaharakati... wakubali kufa kwa kutuongoza kudai haki...

  Hongereni JUKWAA LA KATIBA...
   
 2. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Luti za maandamano haitakiwi kuwa moja tu TAHADHARI!!

  Ii kuwakoroga hao polisi inabidi tuwe na root kama nne katika kila mji! na wakati wengine tukiandamana kwa root tofauti tofauti lazima tuwe na vikosi maalumu ambavyo kazi yake itakuwa kufunga njia kuu za magari na kuwasha moto wa matairi ovyo ovyo ili kuwavuruga kabisa polisi na wakianza kutupiga risasi za moto tunatawanyika kazi inabaki kushambulia gari za serikali ,majengo ya serikali mahoteli ya kitalii mabengi na chochote kile ambacho kinahusiano na serikali.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  this iz a gud IDEA
   
 4. h

  hajoma Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Nimeipenda hii,
   
 5. h

  hajoma Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  ok, ni sawa
   
 6. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Ndugu Deus Kibamba, hayo ndio maandamano ya amani?
   
 7. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa anastahili heshma.
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kale kawimbo 'ngu..we pita sina mkuki mie.................................' haya malizia na ww basi kwa kumwaga pumba

   
 9. mwakichi

  mwakichi JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  haya ndo maandamano ya amani....polisi waje kulinda aman na siyo kuleta fujo
   
 10. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Kama Kiongozi wa Baraza Deus Kibamba keep it up na kazeni kamba
   
 11. mwakichi

  mwakichi JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  yaap...haya ndo maandamano ya amani mwanaharakati...mpaka kieleweke
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Acha uoga wewe....
   
 13. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika Maandamano yajao tunatakiwa tujue kuwa watu zaidi ya elfu kumi wanaweza kufa kutoa nafasi ya watu million 42,746,620 ambapo tukiangalia vizuri kama inavyoonekana hapo chini.

  MGAWANYO WA WATU KWA UMRI NA IDADI

  [TABLE="class: cms_table, align: left"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"]0-14 years: 42% (male 9,003,152/female 8,949,061)
  15-64 years: 55.1% (male 11,633,721/female 11,913,951)[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]  65 years and over:
  2.9% (male 538,290/female 708,445)

  NGUVU KAZI INAYO FAA KWA MAMBO YA KIJESHI

  [TABLE="class: cms_table, align: left"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"]males age 16-49: 5,860,339 [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  females age 16-49: 5,882,279 (2010 est.)

  Baada ya kuainisha hayo tutaona hakika hata wakiua hiyo idadi ya wa watu nikiwemo mimi, kuna uhakika mkubwa wa mabadiliko tunayotaka kufikia mahali fulani.

  Katika Maandamano haya yanatakiwa kufanywa katika maeneo kumi tofauti ikiwa ni strategy YA KIVITA ZINGATIA YAFUATAYO

  Military Operations (FM-3-0, sections 4-32 to 4-39) are[SUP][14][/SUP]:
  1. Objective (Direct every military operation towards a clearly defined, decisive, and attainable objective)
  2. Offensive (Seize, retain, and exploit the initiative)
  3. Mass (Concentrate combat power at the decisive place and time)
  4. Economy of Force (Allocate minimum essential combat power to secondary efforts)
  5. Maneuver (Place the enemy in a disadvantageous position through the flexible application of combat power)
  6. Unity of Command (For every objective, ensure unity of effort under one responsible commander)
  7. Security (Never permit the enemy to acquire an unexpected advantage)
  8. Surprise (Strike the enemy at a time, at a place, or in a manner for which he is unprepared)
  9. Simplicity (Prepare clear, uncomplicated plans and clear, concise orders to ensure thorough understanding)
  1 AMINI UNACHOKIFANYA NI HAKI KWA MOYO NA USO
  2 HAMASISHA WANAOKUZUNGUKA ANDAA MABANGO NA VIPEPERUSHI NA TSHIRT UKIWEZA


  3. HAKIKISHA UNAKAA SEHEMU UJUMBE WAKO UNAPO ONEKANA.
  .
  4. HAKIKISHA UNAACHA BARUA YA MIRATHI NYUMBANI

  Muhimu:

  HAkikisha kunakuwa trafick jam kwa maeneo ya mijini.

  Sababisha kugawa kundi la FFU

  Hakikisha Mnawazunguka ili kuwanyima uwezo kuwablind focus.

  Hakikisha unabeba mask au unavaa miwani swimming glasses are the best. ukishindwa beba maji.

  Kama hujali kuchafuka jipake oil chafu maji yakuwasha hayakusumbui na pia huwezi kukamatwa kirahisi unateleza.

  ni hayo kwa leo:

  Mchaga 25
   
 14. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umeona Kibamba ndio ameandika hayo??,au nyie mliotumwa kuja kupoteza maana ndio mliyoyaandika!

  Njaa zitawaua nyie papasi
   
Loading...