Wabunge wa chadema na nccr waandae mswaada mwingine wa katiba nakupeleka kwa wananchi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa chadema na nccr waandae mswaada mwingine wa katiba nakupeleka kwa wananchi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KING COBRA, Nov 17, 2011.

 1. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kwakuwa Katiba ni mali ya Wananchi na sasa kuna mvutano kati ya Wabunge Wa CCM/CUF na Wale wa Kambi halisi ya Wapinzani CHADEMA /NCCR ni bora kambi ya Upinzani wakaandaa iandae Mswaada mwingine ambao wanadhani ni kwa maslahi ya Wananchi halafu waupeleke kwa wananchi!!!


  Hapa wananchi wataamua ni mswaada gani unawafa!!! Kwa hali nchi ilipofika haiwezi kwenda mbele hata kwa hatua moja kwa kuwa Mawazo ya Akina Adrew Chenge ndiyo yanayofanyiwa kazi na kusikilizwa na Spika . Tatizi lililopo ni kwamba watu wanaotuhumiwa kwa wizi,dhuluma,Ufisadi, uhujumu uchumi wameachwa waendelee kuwa wabunge na wengine ni mawaziri na wanamadaraka makubwa katika maamuzi ya katiba mpya!!!

  Hakuna asiyejua kuwa chanzo cha wizi wa kura,matatizo ya ardhi nchini, Ufisadi ni ubovu wa sheria ambapo watu hawa waovu ndio wanaandaa katiba mpya!!! Hapa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu!!!Kesi ya panya imepelekwa kwa Paka!!!
  Ninaamini kutokana na mpasuko uliojitokeza tutaingia katika malumbano makali kati ya watawala wabovu na Watawaliwa wanao dai haki!!! Ni boro Mchakato huu wa Katiba Uandaliwe mwingine na kambi ya upinzani ili wananchi watakapo amua kupiga kura wataamua waunge mkono mswaada wa CCM/CUF au Wa CHADEMA/NCCR na hii ndo demokrasia!!!!!


   
Loading...