Sauti ya umma ni sauti ya Mungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sauti ya umma ni sauti ya Mungu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Angel Msoffe, Nov 16, 2011.

 1. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Napenda kutoa angalizo wa WABUNGE WOTE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kuwa swala la katiba ni swala la wananchi wote si wabunge wa ccm, chadema,cuf,tlp, nccr wl chama chochote hivyo WASITISHE haraka majadiliano ya mswada yanayoendelea bungeni warudi kwanza kwa wananch kusikiliza maoni yetu kwani sisi ndio tumewaajiri ni lazima watusikilize kwanza, serikali na wabunge waelewe kwamba MTU, AMA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA KITAKACHOONYESHA NIA YA KUTUSHIRIKISHA WANANCHI KWENYE MCHAKATO MZIMA WA MSWADA TUNAAHIDI KUUNGANA NAO KWA NAMNA YYT KWANI TUNAAMINI WANATANGULIZA MASLAI YA WATANZANIA MBELE YA CHAMA YAFUATE. AIDHA MTU,CHAMA CHOCHOTE KITAKAYOJADILI NA KUUPITISHA MSWADA HUU BILA KUTUSHIRIKISHA WANANCHI AJUE KBS KUWA TUTAMPINGA KWA NAMNA YYT KWANI ANATANGULIZA MASLAI YA CHAMA MBELE WATANZANIA BADAE, nawakumbusha wabunge kuwa SAUTI YA WACHACHE NI SAUTI YA SHETANI. nawasilisha.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mkuu wao wa chama ni freemarson hvy wanafanya hvy makusudi wakijua kbs kw watanzania watapinga na wataandamana na wao kupitia majeshi yao watawashambulia watanzania na kuwaua na itakua kafara yao ya mwaka.
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  wabunge wote watakaofanikisha zoezi hili dawa yao ni kuwakataa katika uchaguzi ujao.Nalog off
   
 4. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,453
  Likes Received: 2,502
  Trophy Points: 280
  Hoko mbali sana Mkuu, hebu log in bwana....
   
 5. PROF. ENG

  PROF. ENG Senior Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hallelujah
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wakishachakachua mswada wananch wakanyamaza jua kbs katiba itakayotungwa ni kwa maslai yao c watz,
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,775
  Trophy Points: 280
  Selina kombani anasema haya wanayoyawasilisha bungeni ni mapendekezo ya wananchi wote, swali je ktk hizo documents za kombani alizonazo hao wananchi wamehojiwa juu ya mswada huu wa pili au ule wa kwanza?? je wewe kama mwananchi umeshawai kuusoma mswada huu na kuchangia mawazo yako???
   
 8. s

  supporter New Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda mungu wa wachaga.
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  haha... umesema kweli mkuu wameandamana arusha na kufanya vurugu wadai sauti ya uma... mbona sauti hiyo si isikii kutoka tanga... pwani ... mtwara....
   
 10. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Sauti ya Umma ni Sauti ya Mungu pale tu Haki na Amani vinapizingatiwa na Umma huo na kumutukuza Mungu!!!
  Ni jambo la hatari kubeba tafri hii kwa wabunge wengi wa CCM kusema kwa kuwa wao ni wengi Bungeni na wametoa sauti ya wengi na kupitisha kusomwa kwa mara ya pili Mswaada hapo haki haijazingatiwa!!!!

  Angalia WAINGEREZA WOTE WAMEPITISHA SHERIA YA USHOGA lakini Waingereza Wachache Wamepinga !! Sasa hapo utaona kuwa Sauti ya wengi imetumika kumudhalilisha MUNGU na kwa hapo MUNGU anachukia!!!!
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  achilia mbali kuusoma sijui na sijawah ht kuuona nausikia tu bungeni.
   
 12. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Ni kweli mkuu VOCUS POPULI VOCUS DEI ila hawa watu wanmheshime Mungu/ Kwamba wanajua yupo sina shaka ila nina shaka kama wanamheshimu. Wameungana CUF na CCm kuwazika watz wakiwa hai kama ile misukule ya Iringa.
   
 13. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  dawa yao ni kuwagomea kwenye uchaguzi ujao ,tuanze rasmi mazoezi ya kuwazomea popote wapitapo.Nalog off
   
 14. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Pwani hatutaki ujinga wa kupelekwapelekwa.Nalog off
   
 15. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #15
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  bado sijawahi kuusoma.Nalog off
   
 16. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,775
  Trophy Points: 280
  supporter  [​IMG] Junior Member Array


  Join Date : 14th November 2011
  Posts : 1
  Rep Power : 0
   
 17. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #17
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ndio mana!
   
 18. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #18
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
 19. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #19
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  muangalie jinsi Obama anavyoliwa denda Benetton retira foto do Papa beijando um imã no Cairo - Yahoo!
   
 20. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #20
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,453
  Likes Received: 2,502
  Trophy Points: 280
Loading...