Katiba mpya:tendwa asajili vyama vya tanganyika tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya:tendwa asajili vyama vya tanganyika tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyakageni, Nov 26, 2011.

 1. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  Nimefanya utafiti kwa muda sasa na kugundua kuwa ukiondoa chama-dola (ccm) au mkoloni mweusi ambacho ni dhahiri kuwa kiko madarakani, Tanganyika na Zanzibar, kimabavu {i stand to be corrected}. Vyama vya CUF (Washindi Zanzibar) na CHADEMA (Washindi bara) haviwezi kukidhi mahitaji ya pande zote za Muungano, Tanganyika (r.i.p) na Zanzibar. Namshauri bwana Tendwa afute kifungu cha kuwa chama lazima kikubalike nchi zote mbili. CDM inakubalika sana bara lakini haikubaliki kabisa visiwani. CUF inakubalika sana visiwani na haikubaliki kabisa bara kwa wakati huu.
   
Loading...