Masikitiko: Lowassa awanunua wapinzani pamoja na CHADEMA, ole wako taifa langu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masikitiko: Lowassa awanunua wapinzani pamoja na CHADEMA, ole wako taifa langu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwikimbi, Nov 25, 2011.

 1. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Ni masikitiko ya wazi kuwa sasa hakuna tena jinsi! yule fisadi mkuu lowasa sasa ameshawanunua wapinzania wote, baada ya kuweza kununua kanisa kubwa na taasisi ya kanisa katoliki, safari ya lowasa sasa kwenda ikulu ni nyeupe hapa chini nawasilisha kwa nini ninamini hivyo

  1.wiki moja iliyopita nilizungumza na mmoja wa wakurugenzi wa gazeti la mwanahalisi(siyo kubenea) na alinitamkia wazi wazi kuwa kuna uhusiano mkubwa wa gazeti hili na lowasa, amekuwa karibu nao na nyie mnajua kuwa gaazeti hili lilikuwa ni kipaza sauti cha wanyonge wengi, lakini siku za karibuni ndilo linalomtetea lowasa.

  2. lowasa mwenyewe amelalamika kuwa wanaomwita fisadi ni wanaccm wenzake na wala siyo chadema au wapinzani wenzake, it means anajua wazi wazi mkataba alioingia na chadema kuwa wasimshambulie. kayasema hayo kwenye NEC ya ccm na hadileo hakuna kiongozi yeyote wa upinzani hasa chadema alikanusha jambo ambalo si kawaida kwa chadema

  3. katika mkumbo huo huo hata sumaye ambaye yuko karibu na a chadema naye ameanza kucheza ngoma moja na chadema kumsifia lowasa na kutaka wanaomwita fisadi wawajibinshwe.

  4. kwa muda mrefu sasa, hata uongozi wa juu wa chadema hasa makamanda hawazunguzii tena lowasa bali tuhuma za jumala jumla tu

  5. gazeti la mtanzania daima linalomilikiwa na freeman mbowe limekuwa kinara wa kufichua mbimu zozote za kumweondoa lowasa ccm, huenda kwa uhusiano mzuri uliopo kati ya lowasa na upinzani amekuwa aanapenyeza hoja zake za kuandamwa ccm na kuzipleleka freeemedia ya mbowe,

  6. kuna mkakati mahususi wa makanisa na lowasa na kanisa katoliki nalo limenasa katika mtego huo baada ya kadhia ya mchungaji T.B.joshua kutamka kuwa lowasa atalkuwa rais.

  huu ni ukweli na taifa linaelekea kwenye udikteta wa mtu mmoja hatari anayemiliki 80% ya uchumi wa nchi sasa kuingia ikulu kwa kuwanunua wale wote wenye mtizamo tofauti na wake

  wenye hoja kanusheni haya lakini njaa zimetawala utashi na dhamira ya taifa kupambana na ufisadi
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Hii inanikumbusha ukimya wa magwanda kwa Symbion na Cameron.
   
 3. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  na wewe umenunuliwa na nani?
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  ndoto za rais ajaye atoke zenj. tanganyika haiwezi kuongozwa na rais asiyekuwa na chogo.
   
 5. i

  ibange JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Chadema wana strategies. Wanamjenga Lowassa ili apate nafasi agombee. Wanajua Lowassa hauziki na pia aikna Sitta hawawezi kubaki CCM kwa hiyo ccm itagawanyika. ChademA INA VICHWA WACHA MCHEZO
   
 6. networker

  networker JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  gombea wewe usiye fisadi
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hizi ni hisia zako binafsi!
  Wewe umeonyesha uzalendo wako kuwa ni mpiganaji na mwanamageuzi mkubwa sana wa kimoyomoyo, na unapenda mambo yote yaende unavyotaka wewe, na kwa uharaka unaootea wewe.
  Lakini kuainisha matatizo peke yake si dawa, weka na proposal zako kuyatatua.
  Ninachoshangaa ni kulitaja kanisa katoliki kwenye andiko lako...Hivi kanisa katoliki ni nani?..Unaweza kueleza kanisa limenaswa vipi na ufisadi?
   
 8. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  mawazo yako haya.........naona unariport ukiwa maliwato
   
 9. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Join Date : 8th March 2008

  Posts : 1,169

  Rep Power : 26

  Uzoefu umekusaidia nini? Hilo kanisa ni zaidi ya ulijuavyo. Mwulize hata Lowasa mwenyewe!
   
 10. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kwa mujibu wa ushahidi wa kufikirika na wa kimazingira uliotumia uko sawa. Lakini ukifanyia kazi na kutumia akili zaidi utaweza kujikosoa na kujiona kuwa baadhi ya uliyooeleza ni hisia zaidi kuliko ukweli wa mambo.

  Kumiliki 80% ya uchumi wa si nchi tu bali hata wilaya si kazi ndogo. Inabidi aandikwe kwenye kitabu cha Guiness na jarida la Forbes
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Unaongea kama FFoxy bwana. Anamponda Cameron na leo sijui jana wamepokea misaada toka kwenye serikali yake .Unatema povu bure kaka.
   
 12. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Kama ni akili basi hizi zako zimepitiliza mkuu. Nadhani unaongea kwa hisia zaidi kuliko ukweli.
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Tatizo la magamba wanaona kwa umbali wa matumbo yao tu! Huwa hawana wazo mbadala, na ndio maana kila anayeongea tofauti na mwenyekiti, basi huyo ni msaliti.
   
 14. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  sasa nitaanzisha somo la saikolojia na falsafa humu jf maana kuna watu nadhani kuna vitu hawavielewi kiundani.
   
 15. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Na kwa bei gani?
   
 16. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mkuu ina maana magamba bado wanaile semi "zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama?"
   
 17. Kinyamagala

  Kinyamagala Senior Member

  #17
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tumia akili unapotafakari mambo nyeti,ulitegemea chadema waungane na wanafiki akkina sitta kumshambulia lowasa wakati ndo alozima hoja ya ukweli kuhusu richmond ili alinde uspika?ikiwa imefika mahala mafisadi wanaumana na kuumizana wakigombea mnofu kwa sababu ya uroho ulopindukia si unakaa pembeni kwanza ili moja limuuwe mwenzake kisha upambane na mwanaharamu alobaki?hakuna msafi ccm,lowasa ni fisadi kwa sababu ni muumini mzuri wa sera zilizoasisiwa na chama chake.chadema wangekuwa wapuuzi endapo wangeungana na akina nnape eti lowasa fisadi.msimamo wa chadema ni huu,ccm imeharibika,haina uhalali wa kimaadili wa kuendelea kutawala,ccm ni mafisadi.hata wewe kama uko ccm na muumini wa akina nnape nastta ni fisadi mkubwa,kwani anayemtumikia kafiri naye ni kafiri.nawasilisha
   
 18. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Umesahau kutaja hata UWT chini ya OR nayo imo mfukoni mwa Lowasa. Sasa kama UWT na Rais mwenyewe wanafanya u turn unategemea wengine wafanye nini. Na nani anatakiwa kulaumiwa kwanza.
   
 19. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  ni vema pia luandika bila kudhani kuwa kil;a mtu mkereketwa wa chama fulani. wengine tumeweka rehani maisha yetu kwa ajili ya taifa letu na wala si kwenye chama cha siasa. sasa kama edo ananunua watu kwa gharama ya taifa tunyamaze?
   
 20. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hoja legelege huzaa majungu!
   
Loading...