Hongera Mohamed Seif Khatib kwa kupata shahada ya uzamivu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Mohamed Seif Khatib kwa kupata shahada ya uzamivu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makamuzi, Nov 25, 2011.

 1. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Japo hii thread ilitakiwa iende jukwaa la elimu ila nimeona niiweke hapa jukwaa la siasa kutokana na mtajwa hapo juu kuwa mwanasiasa.Nimefika leo Dodoma kuhudhuria mahafali ya mdogo wangu,nlipofika kwenye mahafali nilimuona Mohamed Seif Khatibu akiwa mwanafunzi wa kwanza UDOM kutunikiwa Doctor of philosophy in Kiswahili literature,wanafunzi wengine wawili watatunikiwa kesho.Nimejaribu kuulizia nikaambiwa alikuwa na supervisors watatu ambao ni Prof.Mlacha,Prof Madumla na Prof.Rubagumya.Hii inaonyesha kuwa wanasiasa wengine kama J.Kikwete msipende phd za heshima bali tafuteni kama wengine wanavyorudi darasani.
   
 2. s

  sisi agent Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Khatib ni mmoja kati ya watu muhimu sanakwa taifa hili kwa uwadilifu na uwezo wake wa kufukiri katika taifa hili mungu ampe busara na hekima
   
 3. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,028
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ningepata hofu sana km angetunikiwa ya kitu kingne ila kwa Kiswahili sipati shaka hata kdg!
  hongera shemeji yetu wa tz bara
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,570
  Likes Received: 772
  Trophy Points: 280
  Bravo Khatib, yuko vema sana kwenye fasihi, hasa ushairi. Baadhi ya diwani zake ni Fungate ya Uhuru na Wasakatonge.
   
 5. O

  OSCAR ELIA Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hongera sana mh ,viongozi wengine wakuige siyo kungojea za heshima.
   
 6. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Kwa kwel tumpongeze kwa hilo.
   
 7. W

  We can JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Naungana na wana JF na watu/ wa Tanzania wengine kumpongeza Mh. huyu; BRAVO Mohamed Seif Khatib (PhD)
   
Loading...