Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

mmemkwa

Member
Nov 9, 2011
54
11
Maandamano yaliyotaka yafanywe na asasi zisizo za kiserikali kudai marekebisho ya mswada wa katiba yamekwaa kisiki kikuu cha alshababu, Mpaka nawasilisha nikuwa kutokana na Tishio la alshabab hakutakuwepo kwani ni gharama na kazi kubwa kuhakikisha usalama katika maandamano yao.

Atakaye andamana kukutana na nguvu ya dola.

Naomba kuwasilisha

My Take:

Mbona mkuu wa kaya alikaa na wazee
 
Na siku hiyo kutakuwa na ulinzi wa ajabu yaani hata nzi hatasogea, atakayekuwa hajitaki ajitokeze , utajuta kuzaliwa!
 
Ulinzi wa uhakika unatoka kwa wananchi wenyewe, hivyo police hawana lazima ya kuja kwenye hayo maandamano. Wananchi wako makini hata mende hatavunjwa mguu kwenye maandamo kama police watabaki vituoni mwao.
 
Maandamano yaliyotaka yafanywe na asasi zisizo za kiserikali kudai marekebisho ya mswada wa katiba yamekwaa kisiki kikuu cha alshababu, Mpaka nawasilisha nikuwa kutokana na Tishio la alshabab hakutakuwepo kwani ni gharama na kazi kubwa kuhakikisha usalama katika maandamano yao.

Atakaye andamana kukutana na nguvu ya dola.

Naomba kuwasilisha

My Take:

Mbona mkuu wa kaya alikaa na wazee

Hivi hao al-shabab wanakuwa tishio kwenye mikusanyiko ya kupinga serikali tu. Hao polisi watakaotoka kupambana na waandamanaji kwanini wasitumike kuwalinda badala ya kuwapiga
 
Gharama yake ni kiasi gani katika kuhakikisha usalama? Tuko tayaro kuichangia ili mradi tu tuandamane!
 
Kova amapiga marufuku maandamano ya wanaharakati na vyama vyote ambavyo vina mpango wa kuandamana
tarehe 26.11.2011 kwa sababu ya kuwepo alshabab nchini
images
images

Hapa tumpongeze sana kova kwa kazi nzuri

Mytake

1.clouds fm wanaanda tamasha la usiku 26.11.2011( wapigwa marufuku na wao)
2. Sugu anaandaa tamasha la usiku 26.11.2011 ( nayeye apigwa marufuku)
3.
 
Hili tishio la alshabab liko vipi?
Ni hatari kuanza kusingizia alshabab, maana iko siku watakuja kweli halafu mtatafutana
 
Maandamano yaliyotaka yafanywe na asasi zisizo za kiserikali kudai marekebisho ya mswada wa katiba yamekwaa kisiki kikuu cha alshababu, Mpaka nawasilisha nikuwa kutokana na Tishio la alshabab hakutakuwepo kwani ni gharama na kazi kubwa kuhakikisha usalama katika maandamano yao.

Atakaye andamana kukutana na nguvu ya dola.

Naomba kuwasilisha

My Take:

Mbona mkuu wa kaya alikaa na wazee

Duh! Yaani, polisi wameshageuka kuwa wa kutoa vibali vya maandamo na siyo ulinzi kwa wananchi na mali zao?
 
Back
Top Bottom