Lipumba atarudi Lini kutoka WORLD BANK. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lipumba atarudi Lini kutoka WORLD BANK.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, Nov 26, 2011.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nampenda mtufahamishe huyu mchumi nguli Prof IBRAHIM .H. LIPUMBA atarejea lini nchini? ili aje aendeleze mapambano ya katiba mpya, huyu jamaa mimi binafsi huwa namkubali ni mtu jasiri, na vitendo, si muoga, na uwa anasimamia kauli zake tofauti na hawa wa vyama vingine. napenda wana jf mtujuze Lini atarudi?
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  He has nothing to gain in this corrupted Country ... Should care his life and work hard ..with WB!
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mie nadhani ni bora endelee kukaa huko huko tu Tanzania wanapenda kutawaliwa na wanasiasa sio wataalam
   
 4. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Uchaguzi mkuu ukikaribia!
   
 5. c

  chegreyson JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 742
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  Ujasiri na kutokuwa na woga alipatia pale Magogoni Ikulu usilisahau hilo.
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Atarudi atakapo maliza kuipandisha TZS dhidi ya hela ya madafu!!
   
 7. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ngoja atengeneze pesa, mshikaji ana mambo mengi sana!
   
Loading...