Ccm imechelewa sana: Ni aibu kwa karne hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm imechelewa sana: Ni aibu kwa karne hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by UWEZO_WAKO, Nov 26, 2011.

 1. UWEZO_WAKO

  UWEZO_WAKO Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuhusu suala la Nishati nchini, Mukama alisema NEC imeiagiza Serikali kuhakikisha kuwa inapunguza bei za mafuta na hasa ya taa ambayo yanatumiwa na wananchi wengi wenye kipato cha chini. Chanzo mwananchi 26 Nov 2011  KARNE YA 21 BADO WANANCHI WALIO WENGI WANATUMIA MAFUTA YA TAA KWA AJILI YA TAA? NI KWELI TUMESHINDWA KUWATOA WATU WETU KUTOKA KATIKA ADHA YA KUTUMIA MWANGA WA VIBATARI NA TAA ZA CHEMLI UNAHARIBU MACHO AFYA NA MAZINGIRA.
   
 2. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nikama nyimbo!Tulishazizoea.
   
Loading...