muswaada wa katiba unaweza kubadilishwa ama kufutwa kabisa

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Ofsi ya bunge imesema kuwa inawezekana kuufanyia marekebisho muswaada wa marekebisho ya katiba wa 2011 ama kuufuta kabisa endapo kutakuwa na sababu za msingi.

Source.Gazeti la Mwananchi la leo

My Take:Hawa magamba wamehisi kwamba ujumbe wa chadema unaotarajia kuonana na jk unaweza kuwa na hoja za msingi zinazoweza kupelekea hali hii so wanaanza kusaka refuge ili ikitokea waseme kanuni zinaruhusu ili kufuta dhana kuwa ni ushawishi wa chadema?

Nawasilisha.
 
Ndio uzuri wa CCM fasta fasta wengine awajajua kinaendelea nini Hongera CCM.CHADEMA ENDELEENI NA UBUNIFU HUO SIUNAJUA ALIYEZOEA KUPASTE KUNA SIKU MTATOA RESTRICTED COPY
 
Hawa watu wanataka kuchezea watu akili sasa; sasa kilichowafanya wausukumize makooni mwa Watanzania ni nini? grrrrrrrrrrrr
 
wana jari Muda kidogo kwa kufanya maamuzi ya kishenzi,
Nchi yetu,Majengo yetu,wabunge wetu,miswada kama hyo Wawe wanakesha bungeni mbn harusi wanakesha,Mambo yenye Maslah ya Taifa wanadai wanaenda na Muda.
 
Ndugu!
Mbona hawa jamaa tayari kwisha habari yao!!
Walijaribu kuingiza vyama vingine wakakuta Dr. wa kweli alishalishtukia hilo kwa kuandika barua pasipo kutoa maneno ya majukwaani [tambua chanzo cha kuchomeka vyama vingine walijua chadema watakataa ili waeneze propaganda kwamba chadema ni wabinafsi! so cheap strategy even a blind can see it!!]
KWA UJUMLA HAWA JAMAA walishasambaratika kilichobaki kwa sasa kila mmoja anatafuta mlango wa kutokea! yaani kampeni ya 2015 zitakuwa laiiiiiiiiiiiiniii!!
Wamejaribu

Back
Top Bottom