Katiba mpya itasimamiwa na Lowassa, Rais mtarajiwa 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya itasimamiwa na Lowassa, Rais mtarajiwa 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kada Deya, Nov 30, 2011.

 1. K

  Kada Deya Senior Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mswada wa KUANDIKA katiba mpya ya Tanzania utapatikana ikiwa Lowasa atashinda urais mwaka 2015 kwani ndio mtu pekee ndani ya ccm anayeonekana kuwa na msimamo wa kweli. Kama alivyothibitisha kwa kumlipua JKkwenye kikao cha NEC
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Hongera sana, nenda kasaini posho yako maana umeshamaliza kazi uliyotumwa.
   
 3. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  laana ya Mungu ikuandame wewe na uzao wote wa Lowassa!Mungu yu mkubwa,mipango yenu yote ya kishetani haitafanikiwa!!!
   
 4. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180

  Toa ujng wako hapa.Atakua raisi wako na mkeo
   
 5. m

  mwanawasi Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  That is the sign of loosing hope,!so u wan say lets wait n stop the going strugles tl 2015..!!endelea kuwepokuwepo kwanza.."mambo yanasonga and regardles of the mountain we climb,there slope ahead...
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Team mojawapo ya kinyanganyilo cha uraisi 2015 ikiwa kazini
  Lobying mpaka JF mko juu!
   
 7. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Mfamaji haachi kutapatapa, huyo ndo Lowasa wako. Subiri uone kichapo atakachopata kutoka kamati yoo ya maadili.
   
 8. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lowassa Hawezi kuwa Raisi wa Tanzania hizo ni ndoto za ALINACHA..,anatumia vipesa vyake kujisafisha kama kweli angekuwa kiongozi mwadilifu...angeweka wazi kuhusu suala la RICHMOND na KASHFA nyingine zinazomkabili na sio kuhonga watu wa kumpamba aje kuwa raisi
   
 9. M

  Malova JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  kutoa mtizamo ni haki ya kila mtu. lakini kinachoangaliwa zaidi ni kwamba unatoa mtizamo gani na kabla ya kufanya hivyo ulifikiri au la!
   
 10. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Haya bana. Bora JK anayekutana na CDM leo kujadili hili na kesho ana sign muswada walioujadili na kupingana jana.
  Miafrika ndivyo ilivyo. na milele mtaendelea kulalamika maana viongozi wa kweli hamuwataki!
   
 11. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Na mtaendelea kuwa maskini milele pamoja na rasilimali nyingi mlizonazo.
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  :spy:

  Tuone.
   
 13. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  EL has signed his own death warranty after implicating JK in Richmond scandal. I am quite convinced that the disciplinary committee will never leave his comments unreproved.
   
 14. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  If Edward ever become the president of this land the spirit of MWALIMU will hunt him!!!
   
 15. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  hello!!!ur children are complainig that u ar not visiting them an more now in mugumu!
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.
   
 17. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #17
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Daaah! Kwa kweli yatakuwa miongoni mwa maajabu ya dunia Rowasa akiwa Rais! By the way ngoja tuendelee kusubiri kama kweli harakati zake ni Za Pimbi au la! Maana kaja kwa kasi hata chembe ya aibu hana kujisafisha kupitia makanisani! L.o.l
   
 18. M

  Malova JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  maisha ni magumu sana na miswada inasainiwa kuendelea kuyafanya maisha yazidi kuwa magumu. Kilichobaki ni KUANZA KUUZA DAWA ZA KULEVYA TU BASI.
   
 19. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #19
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Daaah! Kwa kweli yatakuwa miongoni mwa maajabu ya dunia Rowasa akiwa Rais! By the way ngoja tuendelee kusubiri kama kweli harakati zake ni Za Pimbi au la! Maana kaja kwa kasi hata chembe ya aibu hana kujisafisha kupitia makanisani! L.o.l
   
 20. r

  reformer JF-Expert Member

  #20
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unalipwa sh ngapi kwa hii kazi? Ndio nyie wavivu msiotaka kufikiri na kutoa jasho kupata pesa. Mii naomba masaburi yako nitajie bei yake!!!
   
Loading...