Nilifikiri biashara marufuku kwa mawaziri !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilifikiri biashara marufuku kwa mawaziri !!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kwame Nkrumah, Nov 29, 2011.

 1. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Katika chakula cha jioni alichowaandilia wafanyabiashara kutoka mikoa ya Rukwa na Katavi ili wawekeze katika mikoa hiyo. Mh. Pinda alisema yeye ni mmoja wa wawekezaji katika mkoa wa Katavi. Amewekeza milioni 90 alizokopeshwa kama mbunge kwa ajili ya kununua gari na kuamua kujenga Nyumba ya Kulala wageni kijijini kwake.
  Ni wazo zuri kwa maana ya kutoa ajira kijijini hapo [ kama hataajiri Wakenya] na pia kuwa chanzo cha kodi kwa kijiji. Lakini bosi wake si alipiga marufuku kwa mawaziri kufanya biashara baada ya madudu ya akina Karamagi, Lowasa, Msabaha, Kigoda na zaidi Mkapa kuanzisha benki ikulu?

  CHANZO: taarifa ya Habari TIMES FM.
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Pinda nilikuwa namuamini, lakini baada ya kupokea posho ya Jairo aghhhhhhhh.......Magamba wote mafisadi tu.

  [​IMG]
  Il Gambino.
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  bora huyo kawanufaisha mapoti wake! East or West home iz best!
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ulikuwa wapi wakati wanapitisha AZIMIO LA ZANZIBAR?
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hapana, Kikwete hajapiga marufuku viongozi kufanya biashara. Alisema tu ( thinking out loud) juu ya conflict zilizopo pale kiongozi anapofanya biashara. Lakini sera za ruksa bado zinaendelea kama kawa.
   
 6. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Itakuwaje muswada ukipelekwa bungeni kutaka kupandisha kodi ya kitanda kwenye nyumba za wageni? atakua upande gani?
  Bongo kila kitu kinyume, this is one messed up country !! Nilitamani kulia lakini nikaishia kucheka , wakati Msekwa anang'ang'ania uenyekiti wa bodi VODACOM wakati ni spika wa bunge.
   
Loading...