Taifa lisilojiandaa kwa maafa limejiandaa kwa majanga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taifa lisilojiandaa kwa maafa limejiandaa kwa majanga.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by David webb, Nov 30, 2011.

 1. D

  David webb Senior Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haiingii akilini miaka takribani hamsini (50) ya Uhuru bado nchi yetu tunasumbuliwa na matatizo ya ajali za mara kwa mara hasa za barabarani,au ndo mpango maalum umeandaliwa wa kumalizana Watanzania?.
   
Loading...