JK, anataka Maoni ya sheria ya katiba kwa njia ipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK, anataka Maoni ya sheria ya katiba kwa njia ipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Izack Mwanahapa, Nov 30, 2011.

 1. Izack Mwanahapa

  Izack Mwanahapa JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Tumeona taarifa ya Kurugenzi ya Ikulu kuhusu Rais Jakaya Kikwete kusaini mswada wa mabadiliko ya katiba na wito wake kuhusu wananchi kuendelea kuchangia mswada huo kama wana lakuchangia lakini taarifa haijaeleza tuchangie kwa njia gani hili linaleta mkanganyiko.
   
Loading...