Captain Edward Ngoyai Lowassa; By then It Was Plan A, The later Was B, Now What Is Plan C? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Captain Edward Ngoyai Lowassa; By then It Was Plan A, The later Was B, Now What Is Plan C?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kipanga mlakuku, Nov 30, 2011.

 1. k

  kipanga mlakuku Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  My comrade Lowassa,
  Well nimekuelewa sasa kumbe ile ya kumwingiza Kikwete madarakani ndiyo ilikuwa Plan A ambayo bila shaka umeitumia kujijenga tena umekuwa na mtandao kila sehemu kupitia uwaziri mkuu wako, safi sana.

  Aaanh kumbe and then Plan B ikawa kujiuzulu ili uonekane mtetezi wa wananchi kwa kuachana na serikali dhaifu ya Jk , well hii imezaa matunda kiasi kwamba sasa umefanya kujengeka kwa imani kuwa unaonewa na CCM well tena nowdays umeanza kujisogeza karibu na vijana hii nzuri sana it works as well.

  Good my comrade, now i want to know what is plan C? katika safari yako ya kuwa mwanadamu wa tano kukalia kiti cha urais cha Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  HTML:
  Good my comrade, now i want to know what is paln C? katika safari yako ya kuwa mwanadamu wa tano kukalia kiti cha urais cha Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?   
  
  Ukishajua plan C yake utafanya nini sasa?
  Unataka tudiscuss nini broda?
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inaonekana kingereza kwako tatizo enhe mana mbwembwe zimeishia kwenye headline
   
 4. Biznocrats

  Biznocrats JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Plan A is to live and die in Libya. Plan B is to live and die in Libya. And Plan C is to live and die in Libya!
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,808
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  kilichommaliza Lowasa ni conspiracy theory ya watu wanaotumia kauli mbiu ya "2015 ni zamu ya Zanzibar".

  aje kwetu ndiyo nitamuelewa.
   
Loading...