katiba mpya chini ya ccm ni batili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

katiba mpya chini ya ccm ni batili

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Henry Kilewo, Dec 18, 2010.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Dec 18, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  kwanza kabisa ni mshukuru mungu baba kwa kutupa uzima na tumuombe aendelee kuilinda CHADEMA,

  PILI: Hii katiba inayo tajo kuwa inaundwa upya na Rais anaenda kuteua jopo la wataalamu juu ya uundwaji wa katiba, mimi na sema ni uzushi, uwizi wa kifkra, uhaini na niufedhuli mkubwa katika taifa letu,

  TATU:Huwezi kukifanyia kitu marekebisho au kukiunda upya wakati huji thamani yake, serikali ya ccm haiju thamani ya katiba mpya, wakati muda wote wapo madarakani hawajawahi kuongelea juu ya uundwaji wa katiba mpya, waliyopo nje ya uongozi ndiyo wanao zungumzia katiba mpya, na wamekuwa wakibezwa mara kwa mara,

  hii inaashiria nijinsi gani serikali ya ccm isvyokuwa na muelekeo, imekuwa ni serikali ya bendera fuata upepo, wameshindwa kuwa wabunifu kwa wakati muafaka wanakurupuka wakati wananchi wamechoka, ukiwauliza watakuambia ni sehemu ya sera zao kama ilivyo kuwa UDOM,

  Sasa wanakuja na majopo yao mbayo yanaletwa na watu wale wale wasiyo kuwa na fikra zozote zile juu ya miaka kumi ijayo tutakuwa wapi na kwanini tuwe pale tusiwe hapa, ni serikali ya chama ambao wanaangalia sehemu waliyopo hawaangalie kuwa kunasehemu wanapaswa kusogea hata kwakufosi ilimradi imnufaishe mtanzania.

  kwa mfano uchaguzi uliyopita ningekuwa mimi ni jk, ninge achia ngazi slaa aongoze, kwakuwa alichokuwa anakiongea slaa ndicho hiki sasa kinatokea na alichokuwa anaongea jk nadhani kimekwisha kupotea baada ya uchaguzi kumalizika na maanisha katiba mpya.

  Slaa na CHADEMA ndiyo wanajua watanzania wanataka nini, na si ccm waliyo kuwa wanawabeza watanzania, hili suala nilakuchukulia siriasi si suala la kuiachia serikali ya ccm kwasababu wao ndiyo wapo madarakani, upuuzi huwo haupo, tanzania ni yetu sote lazima tuipigania pale tunapoona kunaelekea kuwa pumba, tanzania ya sasa sitanzania ya miaka ile jamani,

  KATIBA MPYA ITAWEZEKANI CHINI YA UONGOZI WA SERIKALI YA CHADEMA NA SI CHINI YA UTAWALA WA CCM, SLAA YOUR PRESIDENT OF TANZANIA NOT JK
   
 2. a

  awtu Member

  #2
  Dec 18, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well said!
  CCM haiwezi hata kidogo kutuletea Katiba itakayowazika. Wao sio wazimu kiasi hicho;
  Ndiyo, kamati itaundwa na watawaco-opt vibara ktk NGOs and wanasiasa;
  Alafu wataikabidhi kwa "wataalam kuifanyia kazi"
  Mwisho itawekewa viraka 2014, na ndiyo mwisho wa safari ya katiba mpya mpaka tena awamu nyingine mwaka 2020!
   
 3. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Chanzo cha madai ya katiba mpya ni wizi wa matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi JAKAYA KIKWETE wa CCM . Maaskofu na wachungaji wanataka katiba mpya ilikuepusha vurugu 2015.
  Hii maana yake katiba ya sasa imesababisha vurugu mwaka huu 2010


  Sasa ni jambo la ajabu sana kuwaachia CCM waunde Jopo la kuchunguz mchakato wa suala hilo. kwanza kabisa jopo hilo linaundwa na Kikwete ambaye ni mtuhumiwa wa wizi wa kura. Hivyo jopo hilo halita kuwa huru na matokeo yake hayata kuwa huru na wananchi wanahaki ya kutoyatambua
   
 4. M

  Masauni JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well said,
  CCM haiko kwa ajili ya watanzania, na wala hawawezi kuandika katiba mpya. Watanzania ni wajinga sana CCM ilishasema na inazidi kusema kwamba haita andika katiba mpya. Watu wameirudisha CCM madarakani harafu bado wanaiomba iandike Katiba mpya. Chama kilichokuwa kinasema wazi kabisa kuwa ndani ya siku mia moja mchakato wa kuandika katiba mpya utaanza hamkukipa kura!! Sasa malalamiko ya nini kuhusu katiba mpya wakati wale wasiotaka katiba mpya mmewarudisha madarakani?? UJINGA NDO UNAOTUMALIZA SI WATAWALA
   
 5. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watanzania sio wajinga
  wala hawajairudisha CCM madarakani
  Wapo madarakani kwa wizi na udanganyifu tu
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Thank you for your comments.
   
 7. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #7
  Dec 20, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  watanzania ifike mahali tukatae matapishi tunayo taka kuletewa, katiba mpya chini ya rais wa NEC ni hujuma kwa taifa, jk siyo chaguo la watanzania so hawezi kutuletea katiba tunayo taka watanzania maana ataweka wana chukua chako mapema kujitengenezea katiba ya kuwalinda ili tusiwahuku kwa kulihujumu taifa letu,

  jk utake usitake ipo siku tutakuhukumu kwani wewe ni mmoja wapo kati ya mafisadi 11, so hii haitasahaulika milele, mpaka vizazi vinavyo kuja vitasoma history mpya baada ya wakoloni weupe kuondoka next will be u na rafiki zako tutaingia kwenye historia ya wakoloni weusi, na lazima tuandike vitabu kuhusu uchafu uliyo fanyika chini ya serikali ya ccm,

  SLAA IS MY PRESIDENT VOTED HIM
   
 8. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  Akili yako imetulia, umewatendea haki kabisa wapiga kura walioibiwa kura zao na wengine kutoshiriki kupiga kura kwa kufutwa na Nec. Umetutendea haki sana, maaana tumenyanyaswa sanaa, tumedhalilishwa sana ,na tumeibiwa sana hadi JK kuitwa tena Rais
   
 9. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  hata mimi nakuunga mkono hapa!:hug:
   
 10. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #10
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  haya ote nilinena hapa JF ila hayakutiliwa uzito, ila nilikaa nakuwaza sana juu ya katiba hii sasa matoke yake yanaanza kuonekana kwenye huu mswaada, lamaana hapa nikuhakikisha katiba hii haiandikwi na serikali ya ccm, ikiandikwa na serikaki hii haitafika mika 10 lazima tutaingia tena kwenye mjadala wa katiba mpya
   
 11. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Maneno haya yalikuwa ya msingi sana na bado yataendelea kuwa ya msingi sana, msiya sahau iposiku mtayatumia.
   
Loading...