Kulikoni Prof. Mwandosya kugoma kurudi Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni Prof. Mwandosya kugoma kurudi Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BONGOLALA, Nov 28, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Waziri wa afya Dr Mponda amesema anashangazwa na prof Mwandosya kukataa kurudi Tanzania na huku alishapata discharge ktk hospital aliyokuwa akitibiwa India!

  Je ni nini haswa Mwandosya ana choogopa kurudi home?

  Gharama za hotel nani analipa kwa sasa?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Labda kapata shavu la kubeba boksi huko India.
   
 3. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  mwache andelee kutafuna kodi ya watanzania
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahahaha ahahahaha! mkuu umenichekesha sana na hii line!
   
 5. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  kachoshwa na siasa longolongo za kibongo kaamu kula pilipili kwa wingi huko india!
   
 6. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kachoka na siasa uchwara
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Al Shabaab ni noma, jeshi la polisi wenyewe wameshindwa kuwadhiti je Mwandosya ataweza? Mwandosya kaletewa al shabaab toka Somalia ili wamuue, ndio maana yeye kaamua kujichimbia pilipiland
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Dira ya Mtanzania
  Toleo NO 135
  Jumatatu Nov 28-30 2011


  Serikali imeweka wazi kuwa inashangazwa na hatua ya Waziri wa Maji, Prof. Mark Mwandosya kuendelea kuwepo nchini India kwa matibabu wakati tayari madaktari waliokuwa wakimtibu walishamruhusu kurejea nyumbani.

  Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Haji Mponda, alipokuwa akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo Dira ya Mtanzania lilitaka kujua sababu ya Prof. Mwandosya kutorejea nchini huku akiwa amekwisharuhusiwa kutoka hospitalini.

  Dr Mponda alisema kuwa haijui kisa cha Prof Mwandosya kutorejea nchini wakati taarifa zinaonyesha kwamba alisharuhusiwa kutoka hospitali.

  Alisema anashangazwa na hatua hiyo kwani kabla ya kuanza safari zake za nje ya nchi alikuwa na taarifa za kurejea nchini kwa Mwandosya.

  [​IMG]
   
 9. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Anaiogopa Nchi yake; Hawezi kurudi Bongo...

  Naona Mwakyembe pia hata rudi...
   
 10. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kama amejua ameruhusiwa kwa nini asijue sababu za kutorudi,..?
   
 11. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye red sijui unamaanisha nini!!!???
   
 12. V

  Vonix JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Dr Haji Mponda anahakika kweli kuwa Mwandosya hataki kurudi bila sababu yoyote???? hawa wana ccm watu wa ajabu sana kazi kulalamika tu, muulize akwambie asisema tu ooooh kapewa discharge hataki kurudi huo ni utoto,SEMA NAE usikimbilie kwenye media kujikosha sema nae akwambie wewe si Dr?????act Dr acha malalamiko.
   
 13. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  lowasa "aimega" ccm

  wafuasi wake wajiandaa kuhamia chadema

  mkuu nngu007 naomba ukurasa wa ndani wa hii habari au hata contents tu, mmiliki wa "dira" ni nani??
   
 14. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Dr Mponda shame on you. Unless ulikuwa umenukuliwa vibaya. Ni aibu kubwa sana Waziri wa Afya kutoa kauli kama hiyo. Maana yake serikali haina utaratibu. Pia ulipaswa utuleeze aliruhusiwa lini, na kama bill zote zimelipwa, tiketi ya ndege n.k

  Nakuona kama ulitaka ku instigate public imuone Prof kama mbadhirifu wa mali ya umma- tupe ukweli kamili sio mambo nusu nusu, What you have done does not match with your position and academic credentials.
   
 15. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Hakuna sababu ya kumtukana Dr. Mponda, mwandishi wa Dira ya Mtanzania alipaswa kuuliza upande wa pili ambao ni Prof. Mwandosya ama mtu wa karibu ni kwanini hajarudi licha ya kuruhusiwa kutoka hospitali.
   
 16. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kintiku,
  Hapa nakubaliana na wewe 100%. Waziri alikuwa na sababu gani za kuzungumzia hili suala hadharani? Kuwa discharged haina maana kwamba mgonjwa asafiri mara moja kurudi Tanzania. Ni kwamba amemaliza matibabu. Lakini itategemeana na jinsi mgonjwa anavyojisikia. Kwa nini Waziri asimpigie mwenzake simu kupata taarifa ya kinachojiri?
   
 17. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Wahindi wenyewe hawapati hilo box itakuwa Prof? Labda deal yakuendesha Bajaj (rickshaw) au Mahindra...
   
 18. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmh! kazi ipo ...............eti TZ kuna Amani na utulivu
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Atakuwa na hofu akirudi watammalizia hao wabaya wake
   
 20. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #20
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Labda kapata shavu la kufundisha Andra Pradesh.
   
Loading...