Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHADEMA imetoa semina elekezi kwa viongozi wake kutoka mikoa 26 ya Tanzania Dr.Slaa kasema semina ilihusu mambo mengi ikiwemo mchakato wa katiba mpya. Kasema wao ndo wapo karibu na wananchi so...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
No longer at ease,hayumkini si shwari tena!na kimya kingi kina mshindo mkuu.Ziara za wamarekani hawa ndani ya nchi yetu zina tija kwetu?Hofu yangu isije kuwa tunauza mgodi mwingine kwa chandarua...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtatiro ni naibu katibu mkuu wa CUF ambaye ni kiongozi pekee aliyeamua kuwashauri viongozi wa CUF kubadilika na kufuata misingi ya utawala bora, Mtatilo aliamua kuwashauri wabunge na viongozi wa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
...Jamaa anasema mambo yako safi na watu mbalimbali wameahidi kuja,bado ajasema kuhusu Al-shabaab je watakuwepo au la!! watch out TBC 1 now.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear friends, A constitution making process should be designed such that its result will depict and represent the wishes of the people on the way their society should be ruled or governed...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Watu wanasema kuwa kila kitu ukiwa unafanya lazima kiwe na Malengo, Nimekuwa mdau kidogo wa kuangalia MOVIE za muendelezo. Asilimia nyingi ya hizi movie zinafanikisha kazi za kupendwa lazima awepo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zilizopo hivi sasa ni kuhusu mji wa TANGA kuwa ndio utakuwa mji wa kwanza kujengwa machinjio rasmi ya NGURUWE? madiwani wote wameshasaini, amebaki MEYA nae hana namna atasaini.Project...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mzee Malecela kipindi akiwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais alithubutu kutuletea serikali ta Tanganyika akishirikiana na wabunge 55 miongoni mwao Njelu Kasaka na Philip Marmo. Isingekuwa...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Kuna kila dalili zioneshazo Kuwa Watanzania wa Visiwani Hawawapendi Wenzao Watanzania Bara na hili lipo wazi kabisa kwani huwa wanakuja juu sana likitokeapo jambo litatizalo na huwa wanaonesha...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Katika nchi masikini kama tanzania taifa letu limenunua mitambo ya kuingilia matangazo ya radio,television na simu na pia yenye uwezo wa kukata matangazo yake wakati wowote pale wanapoona hayana...
4 Reactions
72 Replies
8K Views
As Kidatu and Mtera dams falls short of water, why not try this source? Nimepita hapa majuzi nikastaajabu mwenyewe, nimechukua hii video ili niwashirikishe watanganyika wenzangu.
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Ndugu zangu natoa ushauri wa bure kwa Wazanzibar wote kukiunga mkono CHADEMA, kwa sababu kuu zifuatazo:- 1. CHADEMA ni chama pekee kilichonyesha msimamo wa kuwa na serikali TATU kilio cha muda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Written by Hassan10 // 03/12/2011 // Habari // No comments Zanzibar, nchi kwanza, Katiba mpya baadaye Posted on December 3, 2011 by zanzibaryetu Kinachobainika sasa Maalim atahamsisha hoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mfanyakazi katika kampuni moja ya kitalii uku ngorongoro.Kwa kipindi sasa nimekua nikifuatilia utendaji wa uyu bwana kuanzia bungeni kwenye uwakilishi wake kwa wananchi mpaka utendaji wake...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Katika kuelekea kilele cha miaka 50 ya Uhuru, hebu tujiulize chama kikuu cha upinzani nchini Chadema kimefanya nini cha msingi kwa taifa la Tanzania ukiondoa maandamono ambayo yameshindwa kuleta...
0 Reactions
61 Replies
4K Views
Hakika kweli Mungu hamwachi mtu wake, hatimae yale maneno mengi na kelele za wizara ya afya leo zimezimwa pale shangingi liliposogelea ndege ya Emirates na huku gari la kubebea wagonjwa kutoka...
21 Reactions
116 Replies
13K Views
Written by amini // 03/12/2011 // Habari // No comments Hakuna mambo matakatifu yasiogusika kujadiliwa katika katiba Posted on December 3, 2011 by zanzibaryetu — Katibu Mkuu wa Chama Cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau nisaidieni eti huyu mkoloni anapewa lini? Hati ya eneo la kigamboni maarufu kama mji mpya wa kisasa aliopewa rais mstafu wa US,Maana kuna tetesi alifanya ziara huko
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naamini ujumbe huu utakufikia. Kuna vifusi vimerundikwa kwenye barabara ya Malambamawili-Kinyerezi na kwa kipindi hiki cha mvua ni kero kubwa! Jana kuna gari ilikuwa imetereza na kutumbukia...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mbunge wa ubungo, John Mnyika atakuwa mmoja wa wazungumzaji kwenye mdaharo kuhusu Muungano na Tanzania Tunayoitaka, kesho tarehe 4 disemba katika hotel ya movenpick/serena kuanzia saa 10 na nusu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…