Mhe ulipoingia madaraka uliapa.na baadhi ya maneno ulisema 'NITAWATENDEA HAKI WATANZANIA KWA MUJIBU WA KATIBA NA MILA ZA WATANZANIA.lengo hapa ni kukumbushia neno MILA tafadhali linda mila za...
bila shaka tumekuwa tukimsikia mwl.akitema cheche juu ya udini,ukabila naukanda huku akionekana kuguswa na madhila hayo. Kufanya hivyo ssi dhambi wote twafahamu,lakini dhambi inakuja pale...
Mwandishi wa habari/makala na m/kiti wa Chadema mkoa wa Arusha, Samson mwigamba, amekamatwa na polisi kwa madai ya kuandika makala ya uchochezi ktk gazeti la Tanzania daima la jumatano wiki...
Leo ni siku muhimu sana kwa watanzania.Tunajivunia kufikisha miaka 50 ya kuwa nchi huru.
Tukiachilia mbali siasa, nadhani leo ni siku ya kila mmoja wetu kufurahi apendavyo.
Ukiweza jumuika na...
KATIKA kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), limesema taifa limepoteza dhana ya uwajibikaji, uzalendo safi na mtazamo chanya wa maendeleo na ustawi wa...
The current state of affairs in Tanzania can be argued to be rather unpredictable, even more unpredictable is a
projection 55 years in the future when Tanzania, should it still exist, will be 100...
Published On: Fri, Dec 9th, 2011
Tanzania | Published On: Fri, Dec 9th, 2011
President Jakaya Kikwete on Friday presented medals and awards to a number of people for their distinguished...
Nina mashaka sana endapo JK atatufikisha 2015,changamoto za serikali na chama zinazomkabili na swala la wananchi kukosa imani naye baadhi ya mambo ambayo ni changamoto kubwa kwake,serikali...
Ni usiku wa saa 6 tarehe 9 Dec, kumbukumbu zangu zinanionesha kuwa ndio muda ambao taifa langu Tanganyika (sio Tanzania bara) lilipata uhuru wake rasmi kutoka kwa mkoloni (mwingreza), ili...
Wahenga walisema njia ya Muongo ni fupi, yapata wiki mbili zilizopita wakati wanaharakati wakiwa na mpango wa kuandamana kupinga malipo kwa Mafisadi wa Dowans. Kamanda Kova alituambia kuwa...
http://www.britishpathe.com/record.php?id=42256#
TANGANYIKA INDEPENDENT - British Pathe
Mwisho Nakuobeni maoni
Asanteni kwa kuangalia kwenu na kufahamu historia halisi na sio vyenginevyo
Katika pita pita yangu kuelekea kusherehekea miaka 50 ya uhuru, nimekutana na hii speech ambayo naweza kuiita ni ya kizalendo zaidi. Its more than what we expect to hear from this special day of...
Katika Hotuba ya Raisi Mwaka huu alisema Sherehe za Uhuru wa Tanganyika 50 Years Zitafana kuliko Maelezo,
Binafsi nilikuwa natarajia kuona vitu Adimu. lakini nimekuja kuona Upupu utupu. na kumbe...
Katika kitu kibaya kupita vyote serikali inaweza kufanya ni kuwa serikali ongo. JK alituambia hakuwajua Richmond wala Dowans. Lowassa alitupa ukweli, ambao JK hadi leo hajakanusha, hivyo JK ni...
Leo ni siku ya pekee sana nchini Tanzania ambapo ni kumbukumbu ya miaka 50. Miaka hamsini si mchezo. Ni rahisi sana kuitamka na kuandika, kiuhalisia ni jambo la kujivunia.
Ni jambo la kawaida...
Jana tarehe 7 des 2011 huko kibaha mail moja nimemshuhudia kwa macho yangu mwenyewe mwandishi mahiri wa gazeti la MwanaHalis Saeed Kubenea akitoa mada katika kongamano la wanachadema...
Haya maazimisho ya miaka 50 ya uhuru wa wadangayika hasa yanatoa tafsiri gani? Imekuwa kana kwamba Serikali ya CCM ndio inayojivunia miaka hiyo 50. Cha maana hasa ambacho kimeonekana ni Serikali...
Nikiwa kwenye matembez yangu nilipita karibu na uwanja wa s.a,abeid nikaona nisisuse kwa asilimia 100.nikajongea ndani kuona kinachoendela..sikuamin macho yangu idadi ya watu ilikuwaa ndogo sana...