Picha hiyo nimeitoa kwa MICHUZIBLOG (Mdau wa Libeneke) Inaomuonyesha rais Kikwete akimkaribisha Makamu wa Rais wa Kenya aliyewakilisha Kenya kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru (wa aibu) wa...
Apparently the consensus is :
1. Often are people who do not seek power but have authority conferred upon them by others who value their judgement.
2. Serve as an example of intergrity and...
Wakuu naomba maelezo ya maelezo ya vikao vya bungeni wanaposema mfano bunge la kumi kikao cha tano mkutano wa tano je kusema bunge la ngap kikao cha ngap na mkutano wa ngap wanamaanisha nini?
Shibuda alitangaza kugombea urais katika kipindi cha kwanza cha miaka mtano ya utawala wa Kikwete. Alipoona hana nafasi ya kutia mguu aliendelea na mipasho pale bungeni kwa chama chake CCM kama...
Katika hali ya kushangaza mbunge wa maswa John Shibuda-chadema amewalaani vikali watu wote wanaopinga nyongeza ya posho ya wabunge na kuwafananisha wote hao wanaopinga na madomokaya na wahuni...
nchi hii ilipiganiwa uhuru na kundi kubwa la viongozi waliokuwa vijana wakati huo, leo tuna siku ya pili ya kuutafuta uhuru wa pili ama niseme kuwa ni awamu ya pili ya ukombozi wa taifa letu lenye...
Inasikitisha kuonana kuwa viongozi wengi hapa tz ni viongozi wa posho. Yaani wanatafuta uongozi kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Wakishapata uongozi wanakuwa hawajui hata la kufanya. Watautetea...
Leo wana JF katika pitapita mitandaoni nimekuta hiii quote "if you are stand for nothing,you will fall for anything" nikaitafakari kwa mapana kwangu mie binafsi na taifa langu Tanzania.Je nini...
Eti. Huku singida inasemekana maafisaelimu hawajui hesabu za darasa la kwanza. Imegundulika kuwa
shule yenye wanafunzi 300. Ina walimu 24,
,, // ,, 400...
Jana nilimkalili mbunge Shelukindo akidai nyongeza ya Posho ni kwa sababu ya kupanda kwa gharama za maisha mjini DODOMA na inavyoelekea hizo gharama ni kwa wabunge tu na si kwa wananchi wa Dodoma...
Huyu ndio rais tunayemtaka baada ya JK,akisaidiana na waziri mkuu Dr. J.P.Maghufuli na makamu wake Dr, W.B.Slaa...hii ni kutokana na hali ya nch yetu ilivyo....neemaaa Tanzaniaaa naiona ikakuja...
Na Mwandishi wetu - Imechapwa 10 December 2011
SEIF Shariff Hamad, katibu mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), yuko hatarini kung'olewa kwenye uongozi wa juu wa chama hicho, MwanaHALISI limeelezwa...
Tangu Tanzania ianze mfumo wa vyama vingi ni vyama viwili pekee ambavyo vimeweza kubadilisha wenyeviti wao kitaifa .Vyama vingine kama vile cuf,tlp,na Udp ni kama vile ukishakua mwenyekiti wa...
katika hali isiyo ya kikawaida viongozi wengi wa vyama vya siasa wamekuwa wakidai uwepo wa katiba mpya kama chachu ya kuleta mabadiliko ya kisiasa katika nchi yetu ya Tanzania.maono hayo ni sahihi...
Ujamaa uliziunganisha Tanganyika na Zanzibar
Fidelis Butahe
JAMHURI ya Muungano wa Tanzania iliundwa Aprili 26, 1964 kwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Mkataba wa Muungano ulitiwa saini na...
Tarehe 2/12/2011 Polisi Mkoani Singida walituhumiwa kumteka mfanyabiashara wa Kuku, kumpeleka eneo la Kindai, kutaka kumlawiti, kumtishia bunduku, na kumwingizia mtutu sehemu ya haja kubwa...
Nimeona maneno ya zitto kabwe ya kupingana na posho, mimi natambua anamtazamo na mawazo yanayoweza kutofautiana na mimi au na watu wengine kwani huo ndio uhuru wa kufikiri.
Tanzania si taifa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.