The dark side of mwl. Nyerere's speech is critically analyized | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The dark side of mwl. Nyerere's speech is critically analyized

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Abdalla Khamis, Dec 10, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. A

  Abdalla Khamis Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  bila shaka tumekuwa tukimsikia mwl.akitema cheche juu ya udini,ukabila naukanda huku akionekana kuguswa na madhila hayo. Kufanya hivyo ssi dhambi wote twafahamu,lakini dhambi inakuja pale unapohubiri mambo usioyatenda kama inavyojidhihirisha kwa baba huyu wa taifa.


  Kwa kwaida ni muujiza mkubwa kwa kiongozi anayechukia udini kuvunja sheria za nchi yenye watu wa dini zote kwa kuwa tu amepata ushauri kutoka kwa baba askofu.mgiriki mmoja aliwahji kutamka kuwa serikali ya nyerere ipo mfukoni mwake,jambo lililomhudhunisha mwalimu na hatimaye kuamua kumsweka ndani mgiriki huo.maraisi wa nchi mbalmbali akiwemo j,kenyata walimsihi kumtoa mgiriki huo lakini mwalimu alikataa,jamaa na marafiki wa nyerere walimsihi lakini bado aliktaa.sasa tazama alipoletewa barua na askofu,alikubali kum wachia huru kama alivyokaririwa katika mkutano wake na waandishi wa habari
  jijini daressalaam mnamo 15,march,1995


  sasa huu ni nini? Ndiop ninapothibitish kuwa,kulikuwa na nyuma ya panzia ya kile alichohubiri ili kuwaghiribu watu fulani akili ili kwayo atimize malengo yake kiuraisi. Haya ni machache tu ya nyerere.hakuwa mtu mzuri yule hata kidogo,nina nyaraka nyingi za kuthibitisha hilo.


  Je nyie mmewahi kumsikia akimtaja abdulwahid syks aktika htuba zake? Basi kwa taarifa yenu abdul ndiye aliyemwachia madaka nyerere na alisaidiwa sana naa abdul pale alipoingia dar. Kisiasa.hii inadhihiriswa pale nyerere alipolia sana katika msiba wa abdul mwaka 1968 na hadi mke wake maria alizimia katika kifo hicho kwa alimkumbuka abdul kwa wake kwao.usishangae nyerere kulia katika msiba ule kwani ingawa hakumkumbuka abdul katika awamu yake lakini alikumbuka fadhila za mtu yule na hivyo nafsi ikamsuta.


  Naomba kuwasilisha wanajamii

   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...