Said Kubenea ni mzalendo, mnafiki au njaa inamsumbua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Said Kubenea ni mzalendo, mnafiki au njaa inamsumbua?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, Dec 8, 2011.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Jana tarehe 7 des 2011 huko kibaha mail moja nimemshuhudia kwa macho yangu mwenyewe mwandishi mahiri wa gazeti la MwanaHalis Saeed Kubenea akitoa mada katika kongamano la wanachadema lililoandaliwa na chama hicho kwa ajili ya kutoa elimu ya uraia kwa wanachama wa wake na wananchi wa maeneo hayo kwa ujumla.

  Saeed Kubenea alijtambulisha kama mwanachadema mpambanaji ambaye yuko tayari kufia kile anachokiamini alimradi kinatetea maslahi ya wanyonge.

  Kwa muda mrefu sasa Kubenea amekuwa kinara katika kuandika mabaya ya lowasa na mafisadi LAKINI katika wiki kadhaa sasa amegeuka na kuwa kisengele nyuma na kuanza kumwandika vibaya Samweli Sita.

  MwanaHalis halioni tena mabaya na ufisadi wa Lowassa, amekuwa ni rafiki yao. Kwa ufupi MwanaHalis limepoteza dira na mwelekeo.

  Katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana 2010, Kubenea aligombea ubunge katika jimbo la mkuranga kwa tiketi ya CCM, hivyo ni kada wa CCM japo kwa bahati mbaya alishindwa katika kura za maoni.

  My take;
  Kubenea ni mwandishi wa habari anayetafuta kushibisha tumbo? Ni mwandishi uchwara lakini wengi hatumjui? ana sura mbili? Ni kinyonga? Ni mzalendo? Au ni mnafiki anayetafuta umaarufu kupitia makosa ya wengine. Ni Sabodo mweusi?
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe unatakaje?
   
 3. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Njaa mbaya!
   
 4. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,318
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Umetumwa ww si bure
   
 5. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata we mwenyewe unamwonea wivu kwa umahiri na weledi wakati katika uandishi.
   
 6. libent

  libent JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  akili zako zinakutosha wewe peke yako unataka kila siku amuandike lowasa peke yake halafu mafisadi wengine awaache, kwangu mimi ni mpambanaji. Nashut down
   
 7. Linyakalumbi

  Linyakalumbi JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Popo ni ndege au mnyama?
   
 8. k

  kalanjadd Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kubenea ni mnafiki ndio maana uozo wote ulioko mamlaka ya bandarai hataki kuuripoti kwa kuwa Mkurugenzi wa mamlaka hiyo ni rafiki yake na hata ile nyumba pale kindondoni zilizoko ofisi za MwanaHalis ni mali ya Mgawe, kwa mantiki hiyo hata Mgawe akiharibu kiasi gani Kubenea hawezi kuripoti, huo unadhihirisha ni unafiki mkubwa na hana uzalendo na nchi yake. Kubenea anachowaza yeye ni maslahi binafsi kwa ajili ya tumbo lake.
   
 9. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi naona yuko sahihi kabisa may be wewe unamatatizo ya Akili
   
 10. M

  Mzalendoo Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mr kubenea songa mbele.
   
 11. M

  Marytina JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  kama unajua huo uozo uripoti na uoneshe ni kivipi KUBENEA alikuwa kwenye nafasi ya kuuandika akakataa
   
 12. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  jaman mwache 2 c kila mtu ana haki ya kutetea akionacho
   
 13. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Anayo haki ya kuwa mwanachama wa chama chochote, hakuna sheria inayomkataza.

  By the way, mnayo habari kwamba katika newsroom karibu zote idadi kubwa ya wanahabari na wahariri wao ni supporters wa CDM? hata pale Uhuru na daily News ukipiga kura ya siri ya wafanyakazi pale utapata idadi kubwa ni CDM.

  Wote hao ni njaa?

  Mtoa mada hajui lolote analosema -- amekurupuka tu.
   
 14. P

  Paul J Senior Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chuki binafsi hazinaga ushaidi na si rahisi kuzifanyia kazi. Kubenea Songa Mbele! Kama mtu alishakuwa kada wa ccm kwani ni dhambi kuongelea ama kuandika uovu?

  Funguka ndugu, hatutaweza kuwakataa makada wa CCM wneye nia nzuri ya kulikomboa taifa lakini hawawzi kufanya hivyo kupitia ccm, kadiri sikuzinavyokwenda wataungana nasi bila woga wala hofu maana wote tulikuwa ccm enzi za chama kushika atamu lakini unaona moto wetu kwa sasa. Sued Kubeana endele kutupatia habari ki-intelijensia!
   
 15. k

  kalanjadd Member

  #15
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kubenea alishakabidhiwa nyaraka muhimu za wizi bandari, na hata wakati ule uozo Tanroads matokeo akageuka kwenda kuchukuwa chochote kwa watuhumiwa, Kubenea hana uzalendo ni mpiga zumari
   
 16. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Usemayo kweli kabisa na hasa pale New habari -- nadhani karibu 95 percent ni sympathisers wa CDM.
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Kubenea ni mnafiki tu anajifanya eti anajua mafisadi wote, wakati kashindwa kuwajua waliomwangia Tindikali
   
 18. m

  massai JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  KUBENEA ni mpambanaji wa ukweli.
   
 19. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa ni mchumia tumbo.
   
 20. a

  abam Member

  #20
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Huyu ndo jabari la habari tanzania, in yeye pekee na mwanahalisi yake ndo walitaja orodha ya mafisdi kwa mara ya kwanza, magazeti mengine yote yaliogopa. Anastahili tuzo ya juu
   
Loading...