tisa desemba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 434
- 114
Ni usiku wa saa 6 tarehe 9 Dec, kumbukumbu zangu zinanionesha kuwa ndio muda ambao taifa langu Tanganyika (sio Tanzania bara) lilipata uhuru wake rasmi kutoka kwa mkoloni (mwingreza), ili kuonyesha unavyoikumbuka, hisia zako na mapenzi yako kwa Tanganyika yetu, toa (andika) ujumbe wako (wowote) kwa ajili ya sherehe za uhuru wa Tanganyika yetu.
hongera Tanganyika, nakupenda Tanganyika, daima nitakusifu na kukupigania ingawa haupo nasi kwa muda (miaka 47 sasa) ila imani yangu inaniambia punde utarejea uungane nasi kwani wajukuu zako hawalali wakipigania heshima na thamani yako irejee....
happy birthday Tanganyika yangu.........!
FUATILIA LIVE FEEDS toka Uwanja wa Taifa hapa (comments za wajumbe)