Hivi ndivyo tunavyosherehekea miaka 50 ya Uhuru watu wa Ipuli - Tabora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ndivyo tunavyosherehekea miaka 50 ya Uhuru watu wa Ipuli - Tabora

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alfred Daud Pigangoma, Dec 10, 2011.

 1. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  08122011164.jpg
  Soko letu jipya na watu walichangishwa fedha ili kujenga vibanda hivi!!!!


  08122011166.jpg
  Picha huongea zaidi ya maneno!!!!


  08122011168.jpg
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Toa maelezo kidogo basi...
  1. Ni wapi hapo?
  2. Mwaka gani?
  3. watu walichangia kiasi gani?
  4. ni mradi wa serikali au chama?
  5. Nani aliweka pesa?
  6. Watu walishirikishwa katika kutafuta eneo na ku-design vibanda?
  7. Jumla ya pesa ilio patikana ilikua ni ngapi?
  8. zilitumiwa kwa vitu gani?
  9. Baada ya watu kuona soko hili walisemaje?
  10. wamechukua hatua gani?
  Asante kwa kutujibu hapo kwanza...
   
 3. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Ndiyo bwana pigangoma..nasubiri majibu ya hoja hapo juu. Wasalimu Ipuli
   
 4. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,068
  Likes Received: 7,543
  Trophy Points: 280
  1. Hapo ni Ipuli Tabora Manispaa (Mjini)
  2. Mwaka ni huu tulio nao na itaendelea hivyo kwa muda kidogo
  3 - 5. Sijui kuhusu hilo la michango
  6. Eneo walitengewa ila hivyo vibanda kila mtu alijijengea, na muda si mrefu eneo hilo litahama tena kupisha stand ya mabasi
  7- 8. SIJUI Tena, huwa sipendi kujishughulisha na mambo yahusuyo pesa isivyo lazima.
  9. Siyo soko ni Mnadani hapo(Loal Molls), (Shughuli zake hufanyika mara moja kwa wiki) na wanaendelea na shughuli bila ya malamiko, si kawaida kwa maeneo mengi ya nchi hii minada yake kufanana na Mlimani City au Quality Plazza (Molls).
  10. Hatua walizochukua ni kuendelea kulitumia kwa kuchinja mbuzi kwa wingi kila Jumamosi na kuuza bidhaa nyingine kwa wingi.
   
 5. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  consigliere kwani una ID zaidi ya moja?! Sikujua!
   
 6. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  karibu uchangie ufahamu wako katika thread yangu ya Star TV.....
   
 7. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,068
  Likes Received: 7,543
  Trophy Points: 280
  Hapana, aliyeanzisha thread ni tofauti na mimi.
  Nimechangia kumjibu RR kwa kutumia style ya kuendelea alipoishia bila kuhoji wala kukanusha,au kudadisi.
  Musimfananishe na mimi tafadhari, Im the worst person, mtmsababishia matatizo bure.
   
 8. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,068
  Likes Received: 7,543
  Trophy Points: 280
  Thanks, nitaipitia na kuona kama nina mamlaka ya kifikara uweza kuchangia chochote.
   
Loading...