Je Nini Kimekufuraisha na Hizi Sherehe.. Bora Tungeenda Makazini tu Wananchi haikutuhusu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Nini Kimekufuraisha na Hizi Sherehe.. Bora Tungeenda Makazini tu Wananchi haikutuhusu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duduwasha, Dec 9, 2011.

 1. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,159
  Trophy Points: 280
  Katika Hotuba ya Raisi Mwaka huu alisema Sherehe za Uhuru wa Tanganyika 50 Years Zitafana kuliko Maelezo,
  Binafsi nilikuwa natarajia kuona vitu Adimu. lakini nimekuja kuona Upupu utupu. na kumbe Pinda ndie Aliyeratibu Sherehe Nzima kwa hiyo Fungu zima la Mabilioni alikuwa anayapana yateketezwe na nani Mtoto wa Mkulima huyu huyu Tunayemfahamu Dah!

  Na TBC wakaanza kuonesha Sherehe za kupongezana kwa Viongozi ikulu ..Wakionesha na Kufundishana Jinsi ya Kuitafuna Nchi Bora wasingeonesha tu hii inaleta Hasira kwa Wananchi wenye hali Mbaya wao wanafurahia Sherehe. Bora Wangeteua kila kaya Watu wawekewe hata Chupa za Soda nasi tujue tumesheherekea na kuonja utamu wa Nchi.

  Jana usiku Nilipita Zangu Mnazi Mmoja baada ya Kutoka Kunywa Soup ya Kuku Wa Kienyeji Break Point ya Town Nikidhania Wananchi Wameenda Kufurahia Mkesha wa Uhuru nikaona watu wana Moyo Kumbe katika Kuzunguka Barabara ya Lumumba nikakuta Mabasi ya Kukodishwa watu wakiwa wamevaa Nguo za Manjano na Kijani huu Mtindo wa Kukusanya watu kwa Kutumia Mabasi na Maroli hadi kwenye Sherehe za Uhuru ni Aibu Utawala haupendwi na Wenye kutawaliwa.
  Nadhani hata uwanja wa taifa ulijaa kwa waalikwa tu na sio wananchi wema.

  Ni Bora tungewaacha washeherekee na sie tuwe makazini mwetu tu Vitu walivyoonesha Nation Stadium si vya kujivunia hizo Gharama wangetumia kununulia japo Helicoter Moja ya Uokozi maana Hakuna hata Helicopter ya Jeshi yakitokea Majanga ni kwisha. Raisi naye alistushwa kuona vifaa vya Jeshi hakuna yawezekana Silaha za Tanzania Zimekodishwa nchi Za Jirani maana hizo tulizooneshwa leo ni kama za kambi ndogo ya Al shaabab.

  Wangesema hizi ni Sherehe zao inner Cycle ya Walioifaidi Nchi there is no need us on TV.. Sherehe nadhani imeongeza Ugumu wa Maisha ya Raia Wake.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  umeonaee??mi niliangalia angalia kwenye tv kuona kama kuna jipya sijaona la maana zaid ya kuskia mtangazaji akisema JAMANI KUNA WATOTO WAMEPOTEANA NA MAMA YAO WAKO HAPA MEZA KUU, kwakweli ilibidi nishutdown ze tv na nikaendelea kupiga kazi km kawa (mi leo nilikua job)
   
 3. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Sisi wa A town hatujashiriki hiyo sherehe yenu, tunasubiri Tanganyika halisi na Sio hii ya Kaole. Mpaka itakaporudi hatutachoka kuidai na tukiipata pamoja na viongozi wake wacha mungu . Maendeleo yataonekana nasi tutairudia sherehe yetu tukiwa na maendeleo ya dhati na uzalendo wa Hali ya juu. Mungu ibariki Tanganyika
   
 4. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,159
  Trophy Points: 280
  Bora Tuende juu huku chini kuna wenyewe

  [​IMG]
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  wanazidi kututia umaskkini tu
   
Loading...