Serikali legelege, serikali ya Waongo

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Katika kitu kibaya kupita vyote serikali inaweza kufanya ni kuwa serikali ongo. JK alituambia hakuwajua Richmond wala Dowans. Lowassa alitupa ukweli, ambao JK hadi leo hajakanusha, hivyo JK ni Rais mwongo. Katibu wa bunge anawakemea waliosema posho zimepanda na kwamba wanataka kuichonganisha serikali na wananchi, siku moja baadae spika anasema posho imepanda kweli eti gharama zimepanda kwa wabunge tu. Serikali gani hii ina watu hawana mawazo? Kina sababu gani ya kudanganya? ndugu zangu tuungane lets vote for change come 2015
 
Mkuu hawa miungu watu wametuchosha sana!Kila siku kucheza na akili za watanzania!Yaani wanatufanya watanzania wote kama mahawala zao vile!Naona kama 2015 mbali sana.Tuanze ku deal nao sasa ili ikifika 2015 tunamalizia kazi tu!
 
Hiyo ndo tabia ya nchi yetu,inawapenda sana watu aongo ,mafisadi ,na mambumbu.hatushangai sana
 
Katika kitu kibaya kupita vyote serikali inaweza kufanya ni kuwa serikali ongo. JK alituambia hakuwajua Richmond wala Dowans. Lowassa alitupa ukweli, ambao JK hadi leo hajakanusha, hivyo JK ni Rais mwongo. Katibu wa bunge anawakemea waliosema posho zimepanda na kwamba wanataka kuichonganisha serikali na wananchi, siku moja baadae spika anasema posho imepanda kweli eti gharama zimepanda kwa wabunge tu. Serikali gani hii ina watu hawana mawazo? Kina sababu gani ya kudanganya? ndugu zangu tuungane lets vote for change come 2015

Ipo siku watanzania tutaongozwa na majambazi kwani tanzania tunachagua chama si mtu safi,yupo mtu wa genge hilo hilo anataka urais utafikiri yupo peke yake nchi nzima na wapo wanaompigia debe ili aukwae,tuamke wanaojiandaa na urais kwa kugawa fedha watataka kurudisha hizo fedha hata kwa kuuza nchi kama inavyofanyika sasa
 
Its simply means there is no cohesion at all in this government! There is nothing as dangerous as this, everyone is working under his/her own terms!
 
Mambo ya viongozi wa nchi hii ni vioja maana kauli mbilimbili kila siku!Jeshi mko wapi?komboeni hii nchi tutawaunga mkono!!Tutaendelea kusikia sauti zinazopingana ndani ya kila jambo hadi lini?Tunaendelea kuona wakubwa wakijimegea keki ya taifa bila kujali wanyonge wanaolia njaa pembeni hadi lini?maslahi ya wafanyakazi si kipaumbele,matibabu bora jamii si kipaumbele,tatizo la umeme si kipaumbele,kufufua reli zetu usafirishaji bidhaa uwe nafuu si kipaumbele,mfumuko wa bei hakuna anaeuona,rasilimali zinazoendelea kuchotwa hakuna anayeona!Shame! spika anatoa ufafanuzi kujustify!!!Katibu wa bunge alikuwa anongea kwa niaba ya bunge lipi?Aaagh!!Tukihoji tunaambiwa tunahatarisha amani!!!Kumbe wanataka wakituibia tukae kimya wapate usingizi mnono na watoto wao!Ole! kuna siku jua litaanzia pande ingine.
 
Tatizo kubwa JK na Kiroboto hawajawhi kuwa watendaji wa serikali ili kubaini namna inavyoendeshwa kupitia Sheria, Kanuni na miongozo ya nyaraka.Wametoka kIsiasa tangu UVCCM ya wakati wao hadi sasa. Wamekuwa ni janga ktk kuongoza na kuendesha nchi na kuyumbisha mihimili yote ya utawala kwa uwongo, ufisadi n.k.
 
Bi kiroboto ndo kabsa mimi ni mbungu akili zake zina mtosha mwenye,Kaua hospital ya wilaya kwa mambo ya kisiasa ,hospitali haina dawa yeye anapeleka wali na nyama ,samaki,Sasa tunaoelewa inamaana wagonjwa wa jimbo la bi kiroboroto waumwa njaa na siyo ugonjwa unaohitaji dawa! Shame on her!
 
Duniani ogopa mtu hata mnyama anayechekacheka hata kwenye msiba. Ogopa mtu ambaye hajawahi kuwa serious isipokuwa kwenye upuuzi. You know what? Kikwete is a very serious guy. If you know him I am wrong. If you don't know him I am right. Remember. Philosophy is sometimes complicated.
 
si ajabu ccm kurudi kwa kishindo 2015.watz hamnazo


Mkuu SI, Serikali hii taahira na fisadi itafanya juu chini kuhakikisha inachakachua uchaguzi ili kuendeleza adhma yake ya kutawala Tanzania milele.
 
iko wapi kile kikosi cha al-shabab wanastahili waaze kazi. Heri kifo kuliko haya mateso ya wanasiasa
 
Back
Top Bottom