Maadhimisho ya miaka 50 ya Tanzania bara mkoani Arusha nia aibu tupu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maadhimisho ya miaka 50 ya Tanzania bara mkoani Arusha nia aibu tupu....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHEMPO, Dec 9, 2011.

 1. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nikiwa kwenye matembez yangu nilipita karibu na uwanja wa s.a,abeid nikaona nisisuse kwa asilimia 100.nikajongea ndani kuona kinachoendela..sikuamin macho yangu idadi ya watu ilikuwaa ndogo sana kuliko hata magari ya viongoz,,big up wana arusha kwa kususia maigizo haya,,
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Arusha wangejitokeza kama wangeadhimisha 50yrs ya Tanganyika na siyo Tanzania bara
   
 3. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Picha mkuu
   
 4. F

  Fblukuwi Senior Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Safi sana wana Arusha kwani maonesho haya ya uhuru yanamaliza hela zetu wananchi bila sababu za msingi. Hebu angalia hizo sare na makorombwezo mengine yangetumika kjengea zahanati au shule na madawati mangapi yangepatikana?
   
 5. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Waache kwenda kutafuta shilingi, wakapigwe jua kwenye maigizo!!
  Unawajua watu wa arachuga au unawasikia wewe!!
   
 6. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nashangaa uwanja wa Taifa wameweka bendera nyingi za Tanzania utadhani tunaadhimisha uhuru wa Tanzania, Zanzibar wakiadhimisha wana bendera yao saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi
   
 7. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  haya mkuu
   
 8. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Najivunia kuishi A town
   
 9. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Uchulo, Mkuu!
  Kumpenda mama wa mwenzio kuliko mama yako! nahisi mzimu wa mwenge umetupumbaza!
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wala! tutakuja kusheherekea uhuru wetu pindi tutakapopata serikali sikivu inayokemea ufisadi na ambao mikataba feki watakapoachana nayo, na nzuri zaidi Ccm watakapoondoka madarakani
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu unayo haki yakujivunia kwa kweli kwani elimu ya haki zenu nyie ni mkoa wa kwanza Tz kuijua & big up you all A town
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tz sasa bila kuiga ya Arusha maendeleo kwetu yatakuwa historia
   
Loading...