Download and read, very touching speech | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Download and read, very touching speech

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WA-UKENYENGE, Dec 9, 2011.

 1. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Katika pita pita yangu kuelekea kusherehekea miaka 50 ya uhuru, nimekutana na hii speech ambayo naweza kuiita ni ya kizalendo zaidi. Its more than what we expect to hear from this special day of our country. Soma ujiridhishe mwenyewe na toa maoni yako tunaposherehekea uhuru wa nchi yetu.
   

  Attached Files:

 2. a

  alkon Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yes. This is a masterpiece. Huyu jamaa ni kichwa. Nimefurahia zaidi alivyochambua aina ya matatizo yanayotukabili kama taifa. Kutumia STI ni sawa, ila ni hicho ni kipengele kimojawapo tu. Najua asingeenda nje ya hapo kwa sababu ndiyo mada aliyoandaa, lakini tunachohitaji cha kwanza kabisa, hata kabla ya STI, ni mabadiliko ya mfumo wa utawala. Hakuna STI inayoweza kufanyika kwenye mazingira ya sasa ya ufisadi, kukosa uzalendo, na kukosa uelekeo wa kisiasa. Ametoa mfano mzuri wa Kagame. Ila ukweli ni kwamba Kagame mwenyewe kama rais ameamua kujenga nchi na kuachana na porojo. Tunachohitaji hapa Tz ni mtu kama Kagame. Ni bora wamuite dikteta lakini anajenga nchi. Kiongozi makini, asiyetaka porojo, akishakamata usukani, hizo STI zitajitokeza zenyewe tu kwa sababu vichwa na vipaji vipo. Yote kwa yote, huyu jamaa ametoa ujumbe mzito sana. Watu wengi tu wana mawazo mazuri kama haya, lakini linapokuja suala la utekelezaji kila kitu kinapwaya. Mungu atusaidie tupate viongozi wapenda nchi na wanaojali wengine. Bila uongozi madhubuti, mawazo kama haya yataishia tu kwenye makabrasha ya wakubwa maofisini. Wakati mwingine huwa watu wanaogopa kusema ukweli halisi kwa sababu inaweza kutia watu kiwewe na kukosa matumaini. Huyu jamaa ameongea ukweli halisi ulivyo, ingawa wanasiasa uchwara wasingependa kusikia mambo kama haya. Utawasikia wanasiasa uchwara, bila aibu wala haya, wakidai maisha ya Watz yamekuwa bora na kwamba "tumethubutu, tumeweza, na tunasonga mbele." Hakuna slogan ya kijinga kama hii. Wamethubutu upumbavu wakati nchi inaangamia?
   
 3. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Thanks for sending out this very powerful speech. We have people and all that is needed to advance. It is sad that we lack leadership and for this I blame the first president and his style of getting leaders. He has left us with a bunch of Holigaans with no morals for leaders. For that his legacy is in tatters.
   
 4. R

  Rugemeleza Verified User

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni hotuba nzuri yenye vitu vingi vya msingi na vinavyotakiwa kufanyiwa kazi.
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160

  Mkuu sina cha kuongeza! Zaidi ni kuongeza mapambano ya kuwatoa hawa wazee waliong'anga'nia fikra za kikoloni ili baadae tuweze kuweka misingi bora ya taifa letu siyo hii "bora liende".
   
 6. cooper

  cooper JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 394
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Ni speech nzuri. Thank you.
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,513
  Likes Received: 2,752
  Trophy Points: 280
  I hope this is the Vera I knew (Mrs Mugittu, I guess). Very controversial woman but somehow intelligent too. I remember her together with Mkundi, Kanyarukiga etc. putting SUA into a dispute because of their greed!! Hope she has moved on now. Anyway, good piece of speech!!
   
 8. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni hotuba nzuri!
   
 9. D

  Deo JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Introduction imeniacha hoi, inaonyesha huyu ni mpambanaji sana. Mawazo yake yanawakera watawala wetu na hata hapo alipo nadhani wanamwona mkereketwa.

  Asante, angalau nimapata matumaini ya miaka baada ya 50 ya uhuru
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  speech kama hizi kikwete huwa hazielewi!!!
   
 11. T

  Topical JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tatizo letu siyo hotuba/sera/ wala nini??

  Nani atazifanyia kazi?? hata huyo aliyetoa hotuba ukimpa kitengo anachefua..ndio utashangaa

  The difference between speeches and realities..
   
Loading...