Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

kumbu mhe lowasa alisema mengi nec na kufananisha dhana ya ccm kujivua gamba na kitunguu eti kila hatua ina gamba ukiamua kuvua patabaki patupu kadhalika ccm wakiamua kuvuana gamba habaki mtu
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tanzania’s Chief Justice Mohamed Chande Othman may be the man to prosecute the six Kenyans accused of bearing the greatest responsibility for the post election violence. He is among four people...
2 Reactions
102 Replies
10K Views
Mbunge wa kigoma kaskazini zito kabwe kesho december 11 atakuwa kanisa Anglican (mt Nikolai) ilala katika sherehe za siku ya mavuno ibadani hapo wote mnakaribishwa kumuunga mkono kamanda wetu...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Indian investors plan to spend $2.5bn on acquiring vast tracts of cheap farming land in Ethiopia, Tanzania and Uganda Indian agribusiness companies are ready to spend $2.5bn buying, or renting...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ama kwa hakika ni jambo la kusikitisha kuona wawakilishi wa mwananchi ambao wanawezeshwa na mwananchi mwenyewe kufika walipo wanashindwa kuhudhuria makongamano mablimbali mkoani kagera...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
MIMI Rais kanishangaza na kuniacha na maswali magumu 1.kutoa hotuba ambayo kaoengelea lami tu kama ndo issue kubwa lenye hadhi ya kuongelea katika kuadhimisha miaka hamsini ya uhuru??? 2.ktunuku...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
"Kwa kuwa wakoloni walituachia misingi dhaifu ya maendeleo ndio maana kazi ya kukuza uchumi ni kubwa" -JK . Ni kweli maendeleo tunayaona ila si sawa kwa miaka 50, tupunguze kujaza matumbo binafsi...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Ni jambo lisilopingika kuwa tanzania imepiga hatua kubwa katika maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na hata kijamii. Lakini tunajisifu kanakwamba ni sisi pekee tumefanikiwa zaidi kuliko nchi nyingine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF bila shaka hamjambo,Asalaama Aleikhum; Bwana asifiwe!!! Jamani natoa ushauri kwa chama cha CHADEMA, tegemeo la wanyonge wanaodhurumiwa Watanzania, fanyeni mambo ya uhakika...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Kauli mbiu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru imetolewa leo ambayo ni 'Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga mbele' Je iko relevant na Tanzania ya leo miaka 50 baada ya Uhuru?
0 Reactions
223 Replies
20K Views
Waziri mkuu aliyejiuzuru EL amesema"viongozi wanaotakiwa kuwajibika kwa kujiuzuru Serikalini wafanye hivyo kama alivyofanya yeye" SOURCE TBC1 habari 20:00
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Baada ya maandalizi ya muda mrefu kidogo, vikao kadhaa, huku akilazimika kukatisha ili akabiliane na majukumu muhimu ya kitaifa kama vile vikao vya bunge na suala nyeti la Katiba Mpya, hatimaye...
11 Reactions
79 Replies
7K Views
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi, lakini wanasiasa hao wajue kuwa jinsi siku zinavyokwenda uongo wao unagundulika na...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Wanajamvi: Stori hii nimeipenda kwani tukio la CCM kutaka kuteka sherehe za miaka 50 ya uhuru pale Mnazi Mmoja lilizimwa na vijana wa CDM. Pia inasdhihirisha kwamba polisi daima ni watumishi wa...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
serikali ya halmashauri ya wilaya ya Ludewa, leo ilihagiza wafanya biashara wote kufunga sehemu zao za biashara baada ya kugundua kwamba zoezi la kuazimisha miaka ya 50 ya uhuru wa Tanzania bara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Limeibuka kundi la watoto ambao wanakaa kwenye traffic lights na kuvizia magari then wanaosha vioo (wind screens) bila hata kumuomba dereva kufanya hivyo. Then wanaomba uwape hela ya kula...
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Baada ya kumaliza kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa iliyokuwa Tanganyika...huu ni wakati muafaka wa kutafakari kuiunda upya Tanganyika kwa kutumia fursa pekee tuliyo nayo ya katiba mpya inayokuja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars Kenya: Below is a Kenyan MPs total salary per month Basic salary...
1 Reactions
98 Replies
20K Views
Kumekuwa na matukio huko Kigoma kufuatia mauaji ya malipizi na vifo mikononi mwa POlisi. Sasa hivi wapo watu wanalala msituni wakikimbia kila gari linalopita. Polisi watuhumiwa kuua raia mikononi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Jana tumeadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa TANGANYIKA. Kwa waingereza siku ya jana hata kama hawaadhimishi lakini wanakumbuka kuwa ni siku waliyokabidhi uhuru kwa nchi iliyoitwa TANGANYIKA...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom